Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There are several places like this in all Tanzanian cities. You are being stupid going around Nairobi taking photos of the bad places to prove a point? Anyone could enter Dar and have a field day taking photos of your untarmacked roads and dirt. What about the general development of the city? Does Dar have as many high end and middle class neighborhoods like Nairobi? I know deep down you know Dar stands no chance that's why you're going around posting this dirt.
Unasema nini wewe stupid? Maneno mengi kama chiriku 🙄 ukija DSM tafuta sehemu kama hizo🙂
 
59E1242B-BD06-40E0-87B8-AFA4561284E7.jpeg
 

Attachments

  • 2BDAF24D-A427-4174-9DBF-BFC8976EA4DD.jpeg
    2BDAF24D-A427-4174-9DBF-BFC8976EA4DD.jpeg
    182.3 KB · Views: 1
Sometimes Tony huaga unabisha pasipo nakujua hii sio makazi ya watu hapa Chino nimekuekea kabisa unafoka bure
Picha ninazo kibao Sana Nairobi kuchafu mjitahidi kuweka mazingira yenu vizuri
Hivi mrupuko wa magonjwa ukitokea itakuaje?
Pale pale unaposema ni dampu
View attachment 1713311
noma sana hao ndiyo wazee wa only best city in east africa....

watu wanabeba kunguni mtaani wanaingia nao kwenye matatu
 
TBT: OAU reaction after Idd Amin got deposed from power by TPDF











TZ ni baba lao yaani tumekwenda kukamata nchi nyingine kwa nguvu na kuweka kiongozi tunayemtaka mpaka watu wanaanza kupiga kelele OAU na UN.

Hizo ni moves za USA na Russia tu.

Sasa mtaelewa kwanini jirani wanaweka military bases za UKna US ktk ardhi zao ili kujihakikishia usalama..

Bongo is the beast:)
 
Back
Top Bottom