Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,146
- 79,299
So picha ilipigwa na simu ya mtu mwingine kisha wewe ukachukua simu na kupost picha? Is that what you tryna say? 😂 😂aliyekuambia kuwa picha nimepiga mimi ni nani....?...
hapo hakuna cha kujitetea,,mnachochekesha ni kwamba mnaongea vitu vitu mnavyovijua nyie ,,,,wakati muhusika hata havijui
mnavituko mnajipa maswali na majibu wenyewe pasipo na uhakika..ni matumuzi mabaya ya mda na fikra..
Tuwache hii story 😂 😂sasa kama test yake haipandi unanilazimisha.....? ,,unampangua mtu kipi anywe
ni sawa sawa na kumlazimisha mtu anywe tusker wakati bear aipendayo ni kilimanjaro...
usipoteze mda
this is great news. lakini sidhano kama itaanza march. hapa wanazunhumzia kuhusu ku sign FID - FINAL INVESTMENT DECISION. ikisimiwa FID means the project is now ready to take of ie mobilisationConstruction of Uganda-Tanzania crude oil pipeline to start in March
THURSDAY FEBRUARY 25 2021
Summary
- In September last year, President of Uganda, Yoweri Museveni, and his Tanzanian counterpart, John Magufuli, agreed to hasten the implementation of the Eacop project in a bilateral meeting held in Chato District in Geita.
By Alex Nelson Malanga
More by this Author
Dar es Salaam. The construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (Eacop) is scheduled to start next month, it was revealed yesterday.
Briefing journalists yesterday about his recent five-day official visit to France, Foreign Affairs minister Palamagamba Kabudi said Total Oil Company director for Africa Division Nicolas Terraz assured him that actual construction of the project would start in the second week of March.
“While in France I held talks with Total director who assured me that all is set for the construction of the pipeline to kick off in the second week of next month,” Prof Kabudi told a press conference.
In September last year, President of Uganda, Yoweri Museveni, and his Tanzanian counterpart, John Magufuli, agreed to hasten the implementation of the Eacop project in a bilateral meeting held in Chato District in Geita.
This was a follow-up meeting after Uganda signed the Host Government Agreement (HGA) with Total on the multibillion dollar Eacop Project.
The two leaders urged officials from both countries to expedite the harmonisation of pending issues and fast-track the remaining agreements including the Tanzanian HGA to fasten the implementation of the project.
As a result of the push from the duo, in October last year, Tanzania and Total signed an agreement that could pave the way for the construction of a crude oil pipeline from Uganda to the Tanga port.
Negotiations for the Tanzanian HGA covered, among others, project authorisations, land rights, local content, health safety and environment and labour standards.
The 1,447-kilometre pipeline will be used for transportation of crude oil from Hoima in Uganda to the Tanga port for export overseas.
The pipeline, two thirds of which will pass through Tanzania, will generate at least 4,700 direct employments and 27,000 indirect jobs, according to Prof Kabudi.
Tanzania and Uganda agreed in March 2016 that a pipeline to transport crude oil from the Lake Albert basin in west Uganda to the markets overseas be routed through the Tanga port.
An agreement to the letter was signed by the two neighboring countries in May 2017 followed by the laying of a foundation stone at the Tanga port by presidents Magufuli and Museveni in August the same year.
Eacop is expected to unlock East Africa’s potential by attracting investors to explore opportunities in the region.
In another development minister Kabudi said Total is planning to construct the coating industry and lubricant blending plant here in the country.
Meanwhile, Prof Kabudi held talks withFrench Development Agency (AFD) deputy managing director Bouduin Philippe who informed him about the France government’s decision to double the fund for the development projects to €1.2 billion (Sh3.3 trillion), for five years from 2017 to 2022.
Furthermore, AFD in collaboration with Tanzania are in the final stages of discussions about the Tanzanian strategic projects in clean water and sanitation, energy and infrastructure sectors.
“Already €791.7 million (Sh2.2 trillion) has been set aside for the projects,” said Prof Kabudi.
Construction of Uganda-Tanzania crude oil pipeline to start in March
he construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (Eacop) is scheduled to start next month, it was revealed yesterday.www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Kwa waliokuwa wanauliza lini ujenzi unaanza umeona confirmation? The construction of EACOP will start in the second week of March! BTW aside pipeline coating plant, a lubricant plant is to also be built in Tanzania!
CC: Tony254
tuclise ndo nn?tukijenga tuclise kabisa deal na hawa panya road wakikenya
Acha ushamba sasa icho kinywaji kwamba kiwanda kimefungwa akiendelei kuzalishwa kimeexpire au unamaanisha niniTuwache hii story
Endelea kufurahia kinywaji chako.
Halafu huyu jamaa hajavaa mask amekaa katikati ya madaktari wawili halafu anakohoa sio mchezo. Yaani anaambukiza hao madaktari live na madaktari hawashtuki wala nini. Wanajifanya kwamba mambo yapo sawa ila rohoni wanahofia kwamba wameambukizwa. Hata Tundu Lissu amekashifu kitendo hiki cha CCMDuh!!pole yake mzee wa watu, km kalazimishwa kufanya press kw ajili ya show off Mungu ata deal nao na km mataka yeye basi itabidi sisi wengine tuchukue tahadhari na tumuombee mema
Wow. Mimi nilidhani mradi unaanza kujengwa March. Kumbe ni kusign FID tu. Halafu mobilisation inaanza for 6 months. Duh! Asante kwa kuclarify maana ukiwaacha watu wengine humu pekee yao watatupotosha sana.this is great news. lakini sidhano kama itaanza march. hapa wanazunhumzia kuhusu ku sign FID - FINAL INVESTMENT DECISION. ikisimiwa FID means the project is now ready to take of ie mobilisation
Hizi nyumba zipo sawa sana. Zinavutia kweli kweli
🤣🤣🤣🤣Barabara ya juuHii ni nini?
The first in Eastern Africa 🙂Naona barabara za kisasa kabisa, lami nyeusi, mifereji safi na ziko marked😂😂
Gaza bwana, unadhani wewe hujapata maambukizi sababu ulichukua Tahadhari? Ulaya na nchi zote za Ulimwengu wa kwanza wana kila facilities na namna ya kuchukua Tahadhari but they've been dying in hundreds if not thousands,mshikaji unaweza kunyamaza? Acha kujiaibisha tunapoteza very skilled personel kwa kudharau vitu simple kama kuchukua tahadhari na kujikinga! Ma-professor, ma-lawyer na ma-engineer waliosomeshwa kwa gharamakubwa na serikali wanapukutika!
We Acha tu🤣🤣🤣Jamaa wanatamani hata wakumeze ili usiendelee kuposti picha😁😁🤣
Barabara iko marked vizuri
The Mighty Ubungo Interchange, the only multilevel interchange in east africaAnother day another picture with unmarked roads. 90% of roads in Tanzania are unmarked.
Halafu huyu jamaa hajavaa mask amekaa katikati ya madaktari wawili halafu anakohoa sio mchezo. Yaani anaambukiza hao madaktari live na madaktari hawashtuki wala nini. Wanajifanya kwamba mambo yapo sawa ila rohoni wanahofia kwamba wameambukizwa. Hata Tundu Lissu amekashifu kitendo hiki cha CCM
ichoboy01 The best 007 Geza Ulole