Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna watu huwa wanauliza majority ya wakazi wa dsm wanaishi wapi!!!!
dsm ni jiji ambalo halina matabaka. popote unaishi tu. wajionee hizo nyumba za kawaida kabisa. amabazo nimejaa kila sehemu dsm.

Niliwaambiaga toka hii thread imekua ni 30% tu ya eneo la Dar ndio lineoneshwa humu, Dar ni kubwa sana, nafikiri sasa wameanza kuona wenyewe

Kuna wapumbavu Huku walikua wanasema Dar hakuna miti kabisa na wengine walikua wanaona road reserves barabara ya mbezi wakasema huko ni kijijini

Niliwaambia nyumba zilizojengwa humo ndani ya huo msitu hata zile posh estates zao za runda na west hazioni ndani,

Asante sana kwa hii video sababu kwa ukubwa tu wa hiki kipande cha mbezi na nyumba za kibabe zilizopo hata jumla za estate zao zote posh Nairobi nzima wakizikusanya hazioni ndani kwa mbezi tu
 
bahati mbaya nimegundua kundi kubwa la tunaobishana nao humu, ni wale wakenya ambao hakuna kitu wanachojua nje ya nairobi.

dar kuna sehemu ukiziacha miaka 2 tu ukija unapotea.
 
Sijaiona Goba bado humu Mbweni na yenyewe sijaiona, yapo maeneo yakiwekwa humu hawa slum dwellers watapinga kwamba sio Tanzania

Mfano hii slum dweller akiiona atasema hapa ni Dar, kumbe ni Mbweni ya Zanzibar

01ZMBW-IM0201-mbweni-ruins-hotel-1475.jpg
 
Back
Top Bottom