Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nchi inasubiri investment ya $30 bln in LNG ukiacha another +$20 bln in in stategic minerals ukiacha $3.5 bln EACOP halafu unaiambia isiwe na airline yake! Kweli?

Tony254 wacha ufala jaribu ku-concentrate na madani yenu ambayo hayalipiki!
Mm nilifkiri mawazo yake ataenda msaidia rostich kupambana na madeni ambayo hayatalipika mpaka yesu ashuke 🤣🤣🤣
 
Nairobi is always on top 👏😍

Source as usual🤣🤣👇👇👇
4CEF099C-A253-40BD-BB13-9298BC1D499B.jpeg
 
African america wanaorepatriate Tanzania kama serikali itataka kuwatumia kuna kitu kikubwa tutapata kutoka kwao,jamaa wametokea kuikubali sana nchi yetu kwa jinsi sisi wenyewe tunavyoishi
Wengine walalahoi tu, huyu a naomba mchango wa kurepair pub yake huko uswahilini

 
Tatizo la wakenya mnapenda kuwatetemekea sana weten lazima wawaone kuwa nyie ni manburura na kingine kuwa hao wahindi na warabu ni raia wa tz hata ukienda Iyenze kahama utawakuta hata utawaonea huruma wanalima mpunga sana na wala hatuwabagui ni raia wwa tz
Nairobi tu mzungu akipita CBD watu wote wanamgeukia kumshangaa, akipanda matatu kila mkenya anataka kumsalimia,
 
Hahaha. Nyinyi pia mnakurupuka kama wao tu. Hakuna tofauti kati yenu na wao.
Sisi tuna local routes zisizopungua 13 na by the end of this year ita-rise mpaka btn 18 and 20! The number Miaka yote KQ haijawahi fikia! Saahii KQ ina local routes chini ya 10!

13 local routes for Air Tanzania
2675900_Air_Tanzania_routes.jpg



VS

7 local routes for KQ
Screenshot_2021-01-26-17-06-50.png

CC: kikihboy n komora096
 


Wanasahau Haraka sana....
Yaani kwa speed hii 2025 hawafiki wanakuja kuomba msaada TZ haiwezekani mtu anatumia hela ovyo alafu anawadanganya bado wanakubali...

Kuna mmoja anasema wana 2900MW lakini cha ajabu bado anasema sio reliable wakati matumizi yao nchi nzima hayafiki 1500MW.

Viwanda hawana vya kusema vinatumia umeme wote huo... Inawezekana wao kila 1MW wanazidisha mara 2.

Hiyo ya 100MW ukute ni 50MW

Sent using Jamii Forums mobile app
we endelea kuwaenjoy
 
we endelea kuwaenjoy
Yaani leo ndio nimeeamin huwa wanafoji data...

Yaani wanasema wana umeme mwingi ila bado wanasema umeme wao sio reliable

Tony254 huyu jamaa atakuwa ndugu na Uhuru na yeye anashiriki kuwaibia Raia wa Kenya...

Sisi 2025 haifiki hawa jamaa tumepiga gape kubwa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya bila Tanzania hakuna nchi itakayoitwa kenya tena duniani hilo mnalijua nina ndugu zangu huko kenya nikisena naenda kuwapa salam kitu cha kwanza ni mchere wanataka maake kuupata kenya ni ghali sana kwa mtu wa maisha ya kawaida
Sema wanaagiza Mchele mwingi kutoka nje alafu hawazingatii ubora unakuta sijui Pakistani,Thai, Vietnamese etc Michele reject kutoka mataifa ya nje Kenya ndo zinafikiaga,kama sehemu za kulimia hazifiki Tano hata🙂 kupiga ubwa bwa wa quality ya juu Kenya ni mtihani 🙂
 
Back
Top Bottom