Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We waruu kuna vitu vya kudanganya mzee...
Nko na mtz ninayemfahamu kaugua lkn kapona

Kwn kenya na tanzania sai unafkkiria kuna utofauti gani ukiondoa curfew, watu huku mbona tunapiga kazi km kawaida..
Sema tu Mungu ywatulinda na amjority huenda tupo assymptomatic
 
Amedanganya!!!!!
..we unajitambua kweli..!!watu kama nyie ni mzigo kwa bara letu la afrika.
Naona kauli hio imegusa mfupa. Jamaa kadanganya dunia kwamba hamna corona. Anyway naona mnavuna matunda mazuri kwa policy hio ya uongo. Mnapata Warusi na Waukraine kwa wingi kwa sababu ya government policy yenu ya uongo.
 
In short,una ukilaza kwa kiasi fulani
 
Kwani nawe waishi bongo?!!..au hatuelewani?
Acha kuishi bongo, youtuber wenu flani pia huaga anafanyaga reactions ya ngoma..
Baada ya kupotea kw mda aliporudi hewani kasema alikua anapambana na kakorona mzee..

Fungueni macho, na hapo ilikua anafanya reaction ya ngoma flani ya kenya
 
Naona kauli hio imegusa mfupa. Jamaa kadanganya dunia kwamba hamna corona. Anyway naona mnavuna matunda mazuri kwa policy hio ya uongo. Mnapata Warusi na Waukraine kwa wingi kwa sababu ya government policy yenu ya uongo.
Yaani katika dunia yenye watu zaidi ya 7b, Tony254 pekee mwenye akili kubwa. We jamaa jifunze kujua dunia inaendaje. Tupo kwenye science and technology. Propaganda za akina Hitler na Nazi party ni za zama za ujinga.
 
Ni utamaduni mliojitungia wa kuwekana madaraja.
Kwa Tanzania binadamu wote ni sawa. Ukienda shule wanasoma wote kwa pamoja. Hakuna kubaguana.

Ubaguzi wa kikabila, kidini, hali au rangi Tanzania hauna nafasi.
Wapo mpaka wahindi, waarabu na wengine wanajiuza. Ni wewe tu unataka kula yupi.

Maisha yao ni ya kawaida. Wapo manzese, Buza, Tandale, Masaki kote Wapo na wanaishi kawaida na wanajisikia vizuri kuwa watanzania.
Kiukweli hawa jamaa wako FEUDALISM stage na mtindo wao wa Landlords vs peasants alias scavengers in LANDLORDS' land ila hujipambanua wao ni CAPITALISTS! unakuta mtu anaishi nyumba ya kupanga yet anakenua humu ndani!
 
Acha kuishi bongo, youtuber wenu flani pia huaga anafanyaga reactions ya ngoma..
Baada ya kupotea kw mda aliporudi hewani kasema alikua anapambana na kakorona mzee..

Fungueni macho, na hapo ilikua anafanya reaction ya ngoma flani ya kenya
Hakuna mtanzania aliyesema kuwa corona haipo. Tunachotofautiana na nyie mmechukulie corona kama ugonjwa serious sisi tumechukulia corona ni ugonjwa wa kawaida na unatibiwa na kupiga nyungu, kutafuna tangawizi, kula malimao nk.
 
Tatizo la wakenya mnapenda kuwatetemekea sana weten lazima wawaone kuwa nyie ni manburura na kingine kuwa hao wahindi na warabu ni raia wa tz hata ukienda Iyenze kahama utawakuta hata utawaonea huruma wanalima mpunga sana na wala hatuwabagui ni raia wwa tz
 
Hakuna mtanzania aliyesema kuwa corona haipo. Tunachotofautiana na nyie mmechukulie corona kama ugonjwa serious sisi tumechukulia corona ni ugonjwa wa kawaida na unatibiwa na kupiga nyungu, kutafuna tangawizi, kula malimao nk.
Sasa unapingana na mkulu wenu aliyesema corona haipo tanzania
 
Ni utamaduni mliojitungia wa kuwekana madaraja.
Kwa Tanzania binadamu wote ni sawa. Ukienda shule wanasoma wote kwa pamoja. Hakuna kubaguana.

Ubaguzi wa kikabila, kidini, hali au rangi Tanzania hauna nafasi.
Wapo mpaka wahindi, waarabu na wengine wanajiuza. Ni wewe tu unataka kula yupi.

Maisha yao ni ya kawaida. Wapo manzese, Buza, Tandale, Masaki kote Wapo na wanaishi kawaida na wanajisikia vizuri kuwa watanzania.
We unaongea njoo na huku uwakute wanachoma viazi, bajia na mihogo..

Hamna daraja lolote tulowekeana wala nini hyo ndio tabia yao tokea hko kwao, km wale wahindi weusi wenzao tu wanawabagua itakuja wewe balabala la chato
 
Wakenya ni tofauti na watanzani wanapenda kijiskia sana hata kama hana kitu mm hapa nyumbani ni tarime maeneo ya sirari pale mpakani ambapo wao kule kwao kenya wasema sirare upande isibania ikiwakuta wanavyo miminika tanzania utasema hawa wafunguliwa kutoka wapi wao huwezi kukasehem kenya unagonga vyombo bila kubughudhiwa na polisi na wakati bongo polisi akifika na gwanda lake anajibanza kona anagonga mbili tatu twa mtindo wa tarumbeta huyoo kasepa nimeka kisii ,mgori .nakuru,narobi ni tabu tupu
 
Kenya bila Tanzania hakuna nchi itakayoitwa kenya tena duniani hilo mnalijua nina ndugu zangu huko kenya nikisena naenda kuwapa salam kitu cha kwanza ni mchere wanataka maake kuupata kenya ni ghali sana kwa mtu wa maisha ya kawaida
Acha uongo wewe, mchele gani huo na kwa bei gani ambao ndugu zako hawaezi kumudu..
 
Kenya ineongeza 100 MW to the national grid from a new wind farm (Kipeto Wind farm). Total power generated imefikia 3,000 MW wakati majirani zetu bado wanaproduce less than 2,000 MW of power.

unit cost ngapi vile? ofcourse higher unit cost than the current cost!
 
Back
Top Bottom