Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikubaliani na wewe. Teargass hajui kiswahili sana. Itakuwa kwamba yeye ni mtu aliyelelewa bara. Sisi watu wa bara kiswahili chetu huwa ni kibaya sana unless tukipende na tuamue kujifunza, huwa anaongea kiingereza full-time. Kiswahili kilimshinda kabisa. Japo yupo sawa kwenye kuwakosesha usingizi. Sijui alienda wapi. komora096 naye ni mtu wa pwani, maana kiswahili chake ni kizuri na laini.
Huyo mbweha ana matatizo ya ubongo, yani hapo kivyake ywajikuta kalonga kitu cha ufahamu sana..
Lkn sasa tutawafanyaje jamani na wakati tayari huenda wamejaaliwa na Maulana, yani katika maisha yao ni mwendo wa kujitoa ufahamu ilimradi na yeye aonekane yupo..

Tena nakupa siri ndugu yangu tony, wanaume wa bongo(dar) wanapenda kujichubua..
 
Putin naye aliwahi kuishi Tz?

1840824_Screenshot_2018-07-31_Arafrika_Sankara_on_Twitter_Vladimir_Putin_with_Samora_Machel_in_the_70s...png

Tanzania ni zaidi uijuavyo, huyo hapo watatu kutoka kushoto akiwa na Samora pale Bagamoyo.
 
Unajiskia lakini ujinga wako ,sisi ni waswahili mzee yaani sisi tunaunganishwa na kiswahili yani wenye kiswahili chetu . Masuala ya ukabila uku hatuubiri babu after all lugha za makabila isn't applicable in this nowadays life labda uwe mganga wa kienyeji (whitch doctor).unajua kilichosababisha rwanda genocide.? Tatizo la uongozi wa kabila moja hapo kwenu je .? Unajua kuwa developed countries wako na makibila yao .? Have u ever heard them bragging about their tribes.? Tamaduni zetu zipo but sio kipa umbele ikija kwenye suala la utanzania wetu tz people are Swahili people
Halafu kuna kitu watu hawaja notice, huyu mzee Jiwe anakwenda kuacha legacy ya aina yake, anakwenda kukipeleka kiswahili next level, yn hii lugha ss ni rasmi inakwenda kutambulika kimataifa zaidi.

Zamani ilikuwa wakija viongozi wageni kutoka nchi kubwa kubwa ilikuwa president wetu anaongea kwa kingereza, lkn kwa Magu hapana, ataongea kiswahili mwanzo mwisho na hata mgeni akianza kuongea basi lazima mtafsiri awepo ili Watz wote waelewe kinachoongelewa bila chenga bila mangungo.

Tulichelewa sn kumpata kiongozi km huyu, tungekuwa mbali sana leo hii.
 
Wasu **** nao wanajiita waswahili
Dunia ina maajabuView attachment 1686028
We kumbe hamnazo.! Hiyo mpaka uende Google . Waingereza (English people) wanaitwa hivyo kwasababu ya kuongea lugha ya kiingereza(English) na kwa tz kwasababu tunaongea lugha ya kiswahili Basi Ni moja kwa moja sie Ni waswahili. Umesoma hata hicho kiswahili chenyewe isije ikawa nabishana na mbumbumbu
 
Huyo mbweha ana matatizo ya ubongo, yani hapo kivyake ywajikuta kalonga kitu cha ufahamu sana..
Lkn sasa tutawafanyaje jamani na wakati tayari huenda wamejaaliwa na Maulana, yani katika maisha yao ni mwendo wa kujitoa ufahamu ilimradi na yeye aonekane yupo..

Tena nakupa siri ndugu yangu tony, wanaume wa bongo(dar) wanapenda kujichubua..
Hehehehee inaonesha unawajua sn wanaume wa Tz wewe
 
Mmh unawezaje kujua kwamba mtu ana kiswahili laini kwa kukiandika tu.?
Sikubaliani na wewe. Teargass hajui kiswahili sana. Itakuwa kwamba yeye ni mtu aliyelelewa bara. Sisi watu wa bara kiswahili chetu huwa ni kibaya sana unless tukipende na tuamue kujifunza, huwa anaongea kiingereza full-time. Kiswahili kilimshinda kabisa. Japo yupo sawa kwenye kuwakosesha usingizi. Sijui alienda wapi. komora096 naye ni mtu wa pwani, maana kiswahili chake ni kizuri na lain
 
Halafu kuna kitu watu hawaja notice, huyu mzee Jiwe anakwenda kuacha legacy ya aina yake, anakwenda kukipeleka kiswahili next level, yn hii lugha ss ni rasmi inakwenda kutambulika kimataifa zaidi.

Zamani ilikuwa wakija viongozi wageni kutoka nchi kubwa kubwa ilikuwa president wetu anaongea kwa kingereza, lkn kwa Magu hapana, ataongea kiswahili mwanzo mwisho na hata mgeni akianza kuongea basi lazima mtafsiri awepo ili Watz wote waelewe kinachoongelewa bila chenga bila mangungo.

Tulichelewa sn kumpata kiongozi km huyu, tungekuwa mbali sana leo hii.
Wana mda mrefu sana jirani mpaka waje watuelewe
 
Back
Top Bottom