Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeye

Hajamaliza swali alilopewa mbona unakuja na swali na hajatutenezea interactive buttons kama ni shida aseme tu can make them I share for learning purposes
Siku inaisha umepotea moja kwa moja

1611417006620.png
 
Acha kujidanganya Tony ,JNIA ya zamani inauwezo wa kuhudumia abiria 2m annually na terminal three ina uwezo wa kuhudumia 6m passengers annually kwahyo jumlisha hapo 8m passengers kwa mwaka,ambapo mwaka wa fedha wa 2019-2020 abiria zaidi ya 5m walihudiwa JNIA
Cheka tu lakini fahamu kuwa number of passengers wanaopitia JKIA ni more than double ya wale wanaopitia JNIA.
 
Back
Top Bottom