Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tusijisahaulishe..
just besides the express
View attachment 1683943
images (25).jpeg
Screenshot_20210123-090945.jpg
 
Wee! tusipoteze muda na maswali ya kitoto. Native wa EA ni wachache sana na sio wabantu, mfano hapa TZ ni wahadzabe na wasandawe ila makabila mengi ya TZ yameoriginate West aka wabantu. Sasa nyie ni vizazi vya sudan na hon of africa ambao ni arab slaves waliotoroka
Wewe hata hujui history. Wabantu walifanya migration yao zaidi ya 2000 years ago. Wewe ni ng'ombe sana kama hujui hilo. Arab slave trade ilifanyika after 1000 AC. Yaani wakati Arab slave trade inapofanyika, Bantus tayari walikuwa wameshawasili East Africa na South Africa na walikuwa tayari wameishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Jifunze historia kama hobby. Wakati mwingine badala ya kusengenya wenzako, chukua kitabu cha historia na usome pengine utajifunza kuhusu history of Bantu migration na kadhalika
 
Wewe hata hujui history. Wabantu walifanya migration yao zaidi ya 2000 years ago. Wewe ni ng'ombe sana kama hujui hilo. Arab slave trade ilifanyika after 1000 AC. Yaani wakati Arab slave trade inapofanyika, Bantus tayari walikuwa wameshawasili East Africa na South Africa na walikuwa tayari wameishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Jifunze historia kama hobby. Wakati mwingine badala ya kusengenya wenzako, chukua kitabu cha historia na usome history of Bantu migration na kadhalika
Acha kulialia, sasa bila kupoteza muda wewe ni kabila gani na how do you spell person and people kwa kiluga chenu
 
Haina pia!
So what? It makes no difference. Huku benki nyingi zina hio revolving door unayoita automatic door. Na wala sio jambo la kuringia. Ni jambo la kawaida tu. Mimi kila wakati ninapoenda standard chartered bank lazima nipitie hilo mlango linalozunguka. Kwa miaka nyingi tu na wala sio issue.
 
Cheki na upumbavu wako unatafuta gia ya kukimbilia, sasa bila kutamka kwa lugha ya kabila lako utathibitisha vp kama kabila lako ni bantu au la
Wewe unadharau watu ambao sio wabantu. Pia aidha ni wewe au Mtanzania mwenzako jana aliyesema kwamba Wakenya wana sura ngumu kwa sababu wanatokea Sudan. Hio ni ukabila ya kubagua watu. Nyinyi pia mna ubaguzi japo mnajifanya kwamba nyie ni wasafi kama pamba.
 
So what? It makes no difference. Huku benki nyingi zina hio revolving door unayoita automatic door. Na wala sio jambo la kuringia. Ni jambo la kawaida tu. Mimi kila wakati ninapoenda standard chartered bank lazima nipitie hilo mlango linalozunguka. Kwa miaka nyingi tu na wala sio issue.
Wacha povu nimeulizia airports hapo Kenya! Si majengo maana hata mabenki Tanzania yanayo! So baada ya yale magofu yenu ya SGR hata JKIA haina vitu vya automatic doors!
 
Wewe unadharau watu ambao sio wabantu. Pia aidha ni wewe au Mtanzania mwenzako jana aliyesema kwamba Wakenya wana sura ngumu kwa sababu wanatokea Sudan. Hio ni ukabila ya kubagua watu. Nyinyi pia mna ubaguzi japo mnajifanya kwamba nyie ni wasafi kama pamba.
Sisi hatubaguani, ila kwa watu wanafki na wasiokua na aibu kama wakenya wasitegemee treatment sawa kama mtanzania mwenzangu. Kwa hiyo unataka Mtanzania asimbague mkenya na unafki wote huo.
We umekwepa swali la kuuvalidate wewe kama ni bantu au la, so kaa kimya usitafute visingizio
 
Venus Star hebu soma comment yako ya awali hapa juu. Wewe pia ulisema kwamba code ya Simba 254 ina makosa. Yeye pia alisema yako ina makosa. Kumbe code zenu zilikuwa right. Mumetumia mbinu tofauti ila output ni the same. Nyinyi wawili ni programmers maana mumetumia mbinu tofauti kupata the same output. Sasa wacha debate iishe.



Hapa chini venus ulikuwa unasema kwamba code ya Simba 254 ina makosa lakini sio kweli maana output ya Simba ni sawa na yako. Sio lazima kila programmer atumie mbinu sawa na yako. Hio ndio maana inaitwa programming language maana kila programmer ana language yake, njia na mbinu zake za kuandika code. Wewe unavyotumia lugha fulani na maneno unayoyatumia sio lazima ziwe sawa na meneno anayoyatumia. Usilazimishe lugha na mbinu kufanana.

Finally, Venus Star nimekubali kwamba wewe ni programmer. Sasa nataka uwache hio tabia ya kujifanya kwamba umesomea kila kitu. Jikite kwenye programming tu. Mambo ya geography, sijui cosmology wachia wengine. Wewe tufunze mambo ya programming.
Kwa kifupi mimi siyo programmer, mimi ni zaidi ya programmers.
 
Wacha povu nimelizia airports hapo Kenya! Si majengo maana hata mabenki Tanzania yanayo! So baada ya yale magofu yenu ya SGR hata JKIA haina vitu vya automatic doors!
Kuna airports za ulaya ambazo hazina. So what is your point? Automatic door is not the issue. The issue is how many passengers does your airport handle? How many flights per day (take-offs and landings). Hayo mengine ya modernity ni irrelevant.
 
Huyu hata hawezi logic za kawaida tu, hata kama anaifunza code atakua mtu wa kawaida milele. Code inatakiwa hesabu zipande
Code yake imerun successfully. Nyinyi mnataka code yake ifanane na yenu. Huo ndio ujinga mnaofanya.
 
Ni sawa. Jikite kwenye profession yako na utatufunza mengi. Sio kurukaruka kwamba uko kila mahali.
Leo umekuwa mshauri wangu siyo. Nimekwambia degree yangu ya kwanza ni religious studies. Leta maswali kuhusu jambo hilo unione. Leta maswali kuhusu cosmology unione. Leta maswali ya mathematics unione. Ni kitu simple sana.

Kwenye IT umenyosha mikono.
 
Back
Top Bottom