The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,812
- 82,276
Wivu wivu wivuUle uchafu uko nyuma ya blue towers wacha tu,eti na hapo ni CBD,
Wivu wivu wivuUle uchafu uko nyuma ya blue towers wacha tu,eti na hapo ni CBD,
Ichoboy bhnYani 1500km sq iwe slum alaf mzungu asione uone wewe google earth hio mzeeView attachment 1682932
alaf iwe ajabu aone hiiiView attachment 1682936
Atari Atari
Hehehehee mtaua watu nyie shauri yenu tu, april co mbali mbn, hapo mnyama anapiga jaramba aje kusababisha maafa nchi fulaniDaaah kinachonifanya niamini kidogo nikuona kwamba Train haina watu huenda ni kweli, japo pia huenda ameipenda keyword for yt viewers,, daah kanistuaaa
Safi sana watoto wetu hatakuwa na haja ya kuchezea mipira ya "ma-lailoni".Kitu cha leather
Kiwanda chetu kimeshaanza vurugu zake 🇹🇿🇹🇿 🏭
Daaah kinachonifanya niamini kidogo nikuona kwamba Train haina watu huenda ni kweli, japo pia huenda ameipenda keyword for yt viewers,, daah kanistuaaa
Hiyo mitaa imefanya nini?Samora Avenue, Kitumbini, Mnazi Mmoja, Zanaki, Mkwepu, Uhuru Streets
Jaamati Khana,
Saivi ni gozi tuSafi sana watoto wetu hatakuwa na haja ya kuchezea mipira ya "ma-nailoni".
Pia hiyo lugha kwenye screen sijaielewa sababu hata bus za BRT language configuration audio na display ni kwa English na Swahili, hii nasikia kama kichina, display ndio sijaielewaNina wasiwasi na hiyo train
1. Seat hizo sio za Train ya masafa
2. Kwani train zetu zinatengenezwa wapi?
View attachment 1683011
Kamal Group chairman, Gagan Gupta speaks in Dar es Salaam mid this week. With him is the group’s public relations manager, Hedwick Peter. Photo: Guardian Correspondent.
Pia hiyo lugha kwenye screen sijaielewa sababu hata bus za BRT language configuration audio na display ni kwa English na Swahili, hii nasikia kama kichina, display ndio sijaielewa
Uchafu ndyo huu Sasa,,ndani ya CBD😂😂😂😱Wivu wivu wivu View attachment 1682943View attachment 1682946