Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza Ulole wewe ndio ulikuwa unasema kwamba Tanzania inashinda Kenya kwenye startup investments? Well, tunaongoza Africa nzima kama kawaida yetu.

money that comes from startups is loan too. BTW got shocked last week while playing (coding and data manipulation) with a dataset by the name crowdfunding! I found Kenya is behind Philippines in taking loans given by crowdfunding! Mind u crwodfunding goes to individuals and not counted by WB or IMF, what if is added to that 90% credit to debt ratio! IRMAO u would have hit 100%

CC: Venus Star

Loans are commonly used to secure startup capital, consisting of funds that are to be repaid within a certain time and are usually subject to an interest rate. Usually loans are taken out from financial institutions.Sep 23, 2020

Incase u didn't know....
CC: Tony254
 
Watanzania waliopotea kwenye uzi huu wote wanatazama tv stations za Kenya. Wanatazama uapishwaji wa Biden. Ndio maana hawapo hapa. Halafu wanajifanya kwamba hawana haja ya kutazama uapisho huo
Tony my brother,una fail sana unaposema kuwa mombasa is an island,hiyo mbona ni geography ya primary mzee..

Dah elimu ya kenya inazidi kunishangaza..
 
money that comes from startups is loan too. BTW got shocked last week while programming-playing with a dataset by the name crowdfunding! I found Kenya is behind Philippines in taking loans! Mind u crwodfunding goes to individuals and not counted by WB or IMF, what if is added to that 90% credit to debt ratio! IRMAO u would have hit 100%

CC: Venus Star

Loans are commonly used to secure startup capital, consisting of funds that are to be repaid within a certain time and are usually subject to an interest rate. Usually loans are taken out from financial institutions.Sep 23, 2020

Incase u didn't know....
CC: Tony254
Why should Gok pay for debts taken by private citizens? That has never happened anywhere in the world.
 
kama unajua programming fungua hizi data uone mnavyokopa!

Mimi sijui programming. Nitaipitia lakini ninachojua ni kwamba serikali inalipa deni iliyo-ombwa na serikali yenyewe au parastatals. Hakuna jinsi serikali inaweza kulipa deni iliyochukuliwa na private citizens au private companies unless serikali yenyewe ilitoa guarantee kusimamia hio loan.
 
kama hujui programming huwezi fungua hiyo dataset! i wish ninge-share my analysis ila i prefer my discretion! Kuna vitu unaweza kujitamba ila vitu vya loan kuweni waangalifu!

Kama giant Nakumatt ime-collapse, hivyo vi-start up vingi mwisho wake hautakuwa mzuri hapo kenya!
 
Ni mtanzania ila kitu kenya napenda nikiwa pale ni kupanda matatuu kwa mstari, hii kitu inaleta ustaarabu but kubwa wenye magari binafsi kutoyatumia majira ya asubuhi mpaka mchana.
 
Ni mtanzania ila kitu kenya napenda nikiwa pale ni kupanda matatuu kwa mstari, hii kitu inaleta ustaarabu but kubwa wenye magari binafsi kutoyatumia majira ya asubuhi mpaka mchana.
Waeleze Watanzania wenzako maana wanadharau matatu za Kenya
 
Ebu fikiri kwa akili yako unadhani kenya inaweza kuwa na uchumi mkubwa kuliko tz??!
Afikirie kw akili yake km nani
Yani nyinyi jamaa mumepumbazwa sana yani mpka basi..
Unaanzaje kuufikiria uchumi kw akili yako wakati kuna vyanzo tayari na taasisi zinaazoshughulikia hayo mambo..

Yani mabeberu wanapotuweka juu yenu mnasema wanatufanyia hisani mkiwekwa nyie halali
 
Watanzania waliopotea kwenye uzi huu wote wanatazama tv stations za Kenya. Wanatazama uapishwaji wa Biden. Ndio maana hawapo hapa. Halafu wanajifanya kwamba hawana haja ya kutazama uapisho huo
Walienda kutazama baada ya kumaliza sasa ikabidi waje kinafiki ili wakejeli
 
Back
Top Bottom