Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Tembea bas ujionee maana ya metropolitan,,Thika huwa imeshikana na Nairobi,,hakuna gap Kama hizi ambazo hazijajengwa
 
Kumbe umeona Kama Mimi,kunakaa nikama Dar iko 200km far
😂 😂 😂. Yani nimeshangaa sana eti hapo bado ni Dar. The same Dar tunayosifiwa hapa usiku na mchana! Siongei kiushabiki but Nairobi huwezi pata sehemu panafanana hivyo. Even the metropolitan areas of Nairobi like Kiserian, Ngong, Kiambu, Athi River et al don't look that way. Nairobi is built up all over you can't find places with such countryside feel
 
Nairobi to Thika many visitors don't know when they are in or out of Nairobi,,huwa zimeshikana na Ni a stretch ya over 45km😍
Jamaa anasema eti Kutoka mahali hiyo picha imepigwa hadi city center (posta) is 35 kms!! 😂 😂 From Nairobi to Rironi interchange is 52 kms using A1 (Waiyaki Way) but huwezipata sehemu inakaa hivyo. All that stretch is built up on both sides of the road. Dar is so overrated
 
. Yani nimeshangaa sana eti hapo bado ni Dar. The same Dar tunayosifiwa hapa usiku na mchana! Siongei kiushabiki but Nairobi huwezi pata sehemu panafanana hivyo. Even the metropolitan areas of Nairobi like Kiserian, Ngong, Kiambu, Athi River et al don't look that way. Nairobi is built up all over you can't find places with such countryside feel
Hata Nairobi tumeiona angle zote ziko sehemu kuna vichaka tu kausha
 
Jamaa anasema eti Kutoka mahali hiyo picha imepigwa hadi city center (posta) is 35 kms!! From Nairobi to Rironi interchange is 52 kms using A1 (Waiyaki Way) but huwezipata sehemu inakaa hivyo. All that stretch is built up on both sides of the road. Dar is so overrated
Kwa porojo mko vizur tunawajua ila tukipekenyua apa tutakuta miharo
 
Kwani ni wewe umeshikilia maisha ya watu humu ndani ndio useme uwaachilie wafe? Mbona unaongea kiboya hivi? Halafu this is internet, you may think you know a person kumbe you don't know anything about them. Just the same way you think you know me ila hakuna unachojua kunihusu hata chembe. You've just given an example with Chamoto. He hasn't talked about his whereabouts or what he does for a living but you've taken it upon yourself to tell the world about him like he asked you to. Hizi tabia ni za kike
Mbn una catch ma feelings mapema hv, tuliaaa moto bado my friend wewe na tony ni Wakenya pekee ambao nimewaita rafiki so tulia rafiki yangu nicxie kazi bado mbiichii
 
Apo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Yani Kutoka hapo hadi Dar city center is only 35 kms? Na inakaa ushagoo hivyo? 😂 😂 😂
 
Mbona hizi ni vitu za kawaida sana. I am currently watching Designated Survivor on Netflix and they've mentioned Kenya and Nairobi so many times. I have watched lots of movies mentioning Kenya or Kenyan cities/towns but I don't see it as a big deal
Did anybody say that it’s a big deal? I simply supported him for what he said. Did I say that Tanzania is mentioned more than Kenya? Nope! Did I include your name in my post? Nope! You need to mind your goddam business! I have no interest in your drama and shenanigans! Every single time you feel the need to meddle in business that is not your own you usually quote me. Please find someone else to play with. I’m not your type!
 
Heheheheee leo ngj nitaje Wakenya ambao kdg naweza kuishi nao

1. Tony254 huyu hana shida na mtu isipokuwa tatizo lake memory yake ndogo.

2. Nicxie huyu pia ni Mkunya ambaye anaelewa ila uzalendo unamsumbua ana upuuzi puuzi flani hv.

3. komora096 a.k.a mama la mama huyu pia hana shida the only problem with her is she doesn't like reading huwa anaruka na yeyote yule aliye mbele yake

3. kikihboy a.k.a mzee wa render huyu huwa kazi yake kuweka render tu yn ziwe functioning or not but it doesn't matter.

4. mwathadan hana shida na mtu, yeye huwa anakubali japo kmy kmy ila ana ukenya ukenya kwa mbaalii.

5. Edward Wanjala a.k.a teacher amepotea huyu jamaa baada ya sindano kuzidi ila atarudi tu


Waliobaki wotee mapaka wakiongozwa na Uhunye na msaidizi wake Teargass

Nimelisahau Kiongozi la kamati ya roho mby a.k.a MK254 mkunya pekee anayejua kiswahili
 
What you are saying here in a whole page is basic knowledge ambayo every average person ako nayo. Nothing new there. Tangawizi na kitunguu saumu kila mtu alitumia wakati huu wa corona, myself included, as a way of boosting immune system. Why do you think that the use of these two was only limited to Tanzanians? Even Americans used these two, but they still died in thousands. Tell us how Tanzanian's "combated" corona and stop this stupid talk.
Tatizo siyo matumizi ya mtu mmoja mmoja bali kuwa na idadi kubwa ya watu kutumia kwa wakati mmoja (80% herd immunity). Tanzania kulikuwa na kampeni nchi nzima kutumia hiyo mimea, ikihamasishwa na rais mwenyewe.

Ukiangalia nchi za magharibi, vyombo vyao vya habari vilitumika kukataza watu kutumia vitunguu saumu, wakijua kuwa watu wengi wakitumia, hakutakuwa na haja ya kutumia vaccine. Kumbuka vaccine ya corona ni biashara za watu.
 
Morocco square dar👇👇
B0C67A01-ADB6-452E-82D6-2CB6B3DCD0EB.jpeg
 
Kumbe Dar ni kubwa kieneo tu 😂 Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
Hii imenishangaza sana. Yaani 35 km from Dar hakuna majumba yet Kenya 35 km from Nairobi kuna majumba na apartments za watu kuishi? Naongea kuhusu maeneo ya Juja na Thika. This is suprising. To make matters worse, ikumbukwe kwamba Dar can only expand in one direction in the inland direction. Dar haiwezi kuexpand towards the ocean so I expected Dar iwe ime-expand more than 60 kilometres inland. Nairobi inaweza kuexpand in all directions and ukienda 40 kilometres in all directions bado utapata majumba huko.
Cc kikihboy Geza Ulole The best 007 Venus Star
 
Hata Nairobi tumeiona angle zote ziko sehemu kuna vichaka tu kausha
Tuambie ni wapi. Nairobi kuna gazetted areas like parks and forests. Sehemu Kama hizo huwezijenga anything kwa sababu sheria haikubali but apart from hizo sehemu huwezipata place inafanana hivyo Nairobi na watu wako free kuendeleza
 
Back
Top Bottom