The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,830
- 82,360
Ww unasema eldoret waambie wakueletee hospital kama hiyo kisumu wakipata nitag mm 🤣🤣🤣🤣🤣Eldoret hawana hospitali ya maana kama hii na kama ipo basi wailete
Thika super high wayTuonyeshe mradi wowote wa kenya ambao tumeupa jina the most,modern, nk.
Hyp ndio hulka yenu bana
Baagamoyo Road, Mbezi Tank Bovu
Kenya pia ni masikini..LAKINI BADO NYINYI MASKINI MBELE YA KENYA
Hongera seems biashara za ku occupy hizo spaces zote zitakuwepo ndio maana mijengo inajengwaIle kamati ya roho chafu mpo?
88 Nairobi is off the ground and there's no turning back. Bado mnaamini haitajengwa as you always do to all Kenyan projects? Ujenzi inaendelea hata msimu huu wa Krisimasi
They are currently laying the foundation and the crane is already up! Africa's second tallest residential tower is rising at the heart of Upper Hill
View attachment 1663738View attachment 1663739View attachment 1663740View attachment 1663741View attachment 1663742View attachment 1663743
. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? 😂😂😂 Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
Nairobi terminus hapa kwisha maneno!
Hii kwa upperhill hakuna kitu🤣🤣😝View attachment 1676638View attachment 1676639View attachment 1676641View attachment 1676642
Credit to indaressalaam on Twitter
. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? 😂😂😂 Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
Station kali sana ndani. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
Na mwanza unafkiri itakuaje ??😅😅😅😅 lazma wachina wafanye maajabu kujikosha mbele ya waturukiShowstopper ya kibabe, Hakuna terminal ya Kenya inayofika hata robo ya hii, sasa kama Dar wamefanya maunyama hivi, Dom HQ na largest terminal sijui Itakuaje