Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii meli nimeifuatilia kwa ukaribu kwenye youtube sasa huwezi kunidanganya. Tangu makontena ziwasili TZ na vyuma vilivyokatwa kuanza kuunganishwa. Nimekuwa nikitazama.
Kwani unafkiri ni moja nimekwambia pitia hapa kuna kampuni inaitwa songoro marine mzeee πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Aliekwambia wachina wanajenga nani ndivo munavojidanganya nyinyiπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„







 

IMG_0879.jpg

IMG_0878.jpg
 
600ksh hahahah nani ana hio pesa ya kulipa wakat treni 100 wakenya wamelia
Ile ilikua wakenya wenywe ndio wanajiropokea mitandaoni, nayo nkm hii 600 yako..serekali itakuja kuwaumbua..

Alafu per KM nyie ndio mnatoza pesa nyingi
 
Tatizo lako na wewe unapenda ligi.. mimi mashindano sijui.. Mie naburudika tu humu maana hii haziongezi kipato wala kuboresha afya.. :)

Sasa wewe uko argument mode always... Hahahaha.

We njoo tule chips... Tuu.. mie kwenye ubishi mvivu ndugu yangu.
Ona huyu, man! Mwanaume hafai kuwaza chipo bana
 
Back
Top Bottom