Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia na tena ntaendelea kurudia, hatujawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. Na pia hatajawaisamehewa deni venye Tanzania walisamehewa
Ww ndio ulisema kenya hua haiombi msamaha wa madeni au sio ww najua umejifanya hujaiona

Treni za SGR ni mpya.
Mpya gani wewe tony dunia iankwenda mbele nyinyi munarudi miaka 100nyuma
720D85B0-04F1-4299-93E2-6679F5AF4810.jpeg

ni yale yale makosa mulioyarudia wenzenu wamezitumia treni miaka 50 nyinyi ndio munazinunua leo 2020 seriousπŸ˜„πŸ˜„
DF637764-080C-4087-9040-5DB044162063.jpeg
 
Yani nacheka sana kuona vile mchina akiwajibika inavipaswa manake kwenye SGR kamaliza biashara sasa kahamia na huku

mchina nimekunyooshea mikono
Ni lini Tanzania itakuwa na elevated expressway. Alafu ebu nikuulize, is this the first time umeskia project ya PPP dunia nzima? Kama ni mara yako ya kwanza basi kuwa ready kuona ya pili wakati hile PPP ya 190km road itaanza kujengwa Alafu pia kuna PPP ingine.
 
Labda tujenge kwa pesa yetu na sio ijengwe na mtu alaf aanze kutukamua ushuru hilo halipo hua hatuingii kwenye biashara hazina tija na faida kwa wananchi

hvi kwa kutumia akili 600ksh per car then how many of them will afford ushawah jifkiria hilo

hata mchina alitaka kujenga chalinze expressway kwa ppp lakini magufuli alikataa hata bagamoyo port ilikua ni ppp magufuli alachomoa tena sijui unashangaa nn wwπŸ˜€πŸ˜€
 
Ni lini Tanzania itakuwa na elevated expressway. Alafu ebu nikuulize, is this the first time umeskia project ya PPP dunia nzima? Kama ni mara yako ya kwanza basi kuwa ready kuona ya pili wakati hile PPP ya 190km road itaanza kujengwa Alafu pia kuna PPP ingine.
Mpeni mchina tu hana shida kwenye ppp manake hzo ndio biashara zake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwa sasa pesa za mradi wowote hamuna na hamutakua nayo mpaka yesu ashuke
 
Labda tujenge kwa pesa yetu na sio ijengwe na mtu alaf aanze kutukamua ushuru hilo halipo hua hatuingii kwenye biashara hazina tija na faida kwa wananchi

hvi kwa kutumia akili 600ksh per car then how many of them will afford ushawah jifkiria hilo

hata mchina alitaka kujenga chalinze expressway kwa ppp lakini magufuli alikataa hata bagamoyo port ilikua ni ppp magufuli alachomoa tena sijui unashangaa nn ww
Naona ujinga yako inakudanganya charges itakuwa 600bob. Hii ndio maana nasema unaumwa na hiyo project, charges za expressway itaanzia 150 bob up to 300 depending on the weight of your vehicle.
 
Back
Top Bottom