mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,699
- 37,299
Jamaa anaongea kwa kiburi ya hali ya juu sana
imagine.
tukiwaambia hakuna falla wa kututisha tunamaanisha,sio kenya peke yake.
huyo ni kabudi,acha aongee mzee baba sasa na dharau ndani yake.
Jamaa anaongea kwa kiburi ya hali ya juu sana
Its does't matter how fan its look to you ,but that is a fact, we dont have corona virus hereWhat is your point exactly is coronavirus in Kenya alone
Tanzania is the only country in the world with no coronavirus
Hata ukimuuliza "what is the role of Healthcare system in prevention of Corona" hajui, kazi yao ni kukariri yale yanayosemwa na wazungu, hawana akili kabisa hawa jamaaHealthcare systems?????..hivi we unajielewa kweli?!!!..hiyo kunya yako ina healthcare system bora kuliko states??!!..mbona yenyewe states iko na wagonjwa wengi mara nne ya kenya?!!..mbona rwanda iko na wagonjwa wachache kuliko italy,kwa hiyo rwanda ina healthcare system bora kuzidi italy??!..vitu vingine ni vidogo tu wala huitaji kutumia nguvu nyingi,ukitumia rungu kuua sisimizi utaumia mwenyewe,covid haihitaji kuwa na healthcare system bora ili uweze kui-control,ni akili ya utambuzi tu kutambua covid ni ugonjwa wa aina gani,umetokeaje,na kwa misingi ipi,kama ingekuwa healthcare system ndo inaamua athari za corona,ni wazi kabisa africa hadi wakati huu kusingebaki hata mtu mmoja!!!..mimi na watanzania wenzangu tungekuwa marehemu zamani sana...najua hapa utakataa,ila unaelewa moyoni mwako,kwa kuwa hamjitambui na si muda mrefu tutaleta vaccine hapo tuje tuwafanyie majaribio kwa sababu ninyi si watu na hamna faida yoyote,hata majaribio yakienda vibaya mkifa hakutakuwa na hasara
That's no fact its stupidity and madnessIts does't matter how fan its look to you ,but that is a fact, we dont have corona virus here
Only to low minded person such as you, yet we just live our life, its better to know the denial against corona free in Tz, will never save your country from corona virus keep it in your skullThat's no fact its stupidity and madness
Watoto na Pombe 😊 Next time pin location 😅😅Current MoodsView attachment 1631014
Ukipata km 50 km nafunga acc jamii forum sasa hvi😂Mombasa to mariakani wanajenga four lanes wewe na inamiminiwa we unakuja na ujinga wa matamshi ya serekali yenuView attachment 1631687
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Tanzania can't even save itself and you are talking about Tanzania saving KenyaOnly to low minded person such as you, yet we just live our life, its better to know the denial against corona free in Tz, will never save your country from corona virus keep it in your skull
After zooming 😂😂😂😂👇👇 ni matapishiUshahidi gani huo unaotaka
Hata ya magongo na pale makupa walipiga concrete chini alafu wakadunga asphalt juu..
View attachment 1631688
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ukiwaambia hicho ni kituo cha polisi watakataa jaribu uone😂😂😂😂😂
🤣🤣 Mombasa port,the king of EAKeep on living in fantasy and mediocrity!
Hawa jamaa kila mahala tunawagonga! Kotekote, ndani nje....
kuna watu wanajenga daraja la watembea kwa miguu washaanza kelele wakati mwanaume Tanzania anajenga around 4 mega bridges (Selander, Kigongo Busisi, Wami and Pangani) na ametulia! Hivi Tony254 mna akili timamu kweli?