Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haina ukweli wowote, hizo karatasi za kura sio zenyewe, hao walishajua watashindwa wakapanga mikakati ya kuleta taharuki kwa kutengeneza kura feki kwa kutumia zile sample specimen za tume wakidai zimeleta na wasimamizi wa vituo.

Hujaona humu JF mapema tu tayari kuna watu walikua wanaposti karatasi za kupiga kura wakionyesha wamemipgia nani wakati kwenye vituo watu hawaruhusiwi kupiga picha, jiulize hiyo movie yao walikua wanafanya wapi.

Kuna kitu kinaitwa "false flag" attacks ndio kama hizo, lengo ni kupoteza legitimacy ya mshindi ili international community ianze kupiga kelele...

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Na wewe hacha kunidanganya...Bora ukae Kimia....Am not a fool my friend like others...I can't buy that... Tuongee Mambo mengine
 
Me naamini magufuli angeshinda bila haya mabegi ya kura.

Ila sielewi ni nini mantiki ya ushindi wa kishindo unaotafutwa??

Nandhani huu ni upinzani dhaifu zaidi kuwahi kutokea.
 
Magufuli ni binadamu kama binadamu wengine na hufanya makosa pia.

He's not perfect at all, itoshe kusema ameharibu huu uchaguzi 100% kwa tamaa yake ya kushinda kwa kishindo. Haya sasa alitaka Bunge liwe CCM tupu + madiwani amepata, haya tuone Maendeleo sasa.
Baba anaenda kuondoa term limit! Na term inaenda kuwa miaka saba.
 
Mimi walinipa dozi ya kikombe kimoja tu...Walichukua mkonge wakauponda kwa kuwa walitaka niache pombe walichanganya na pombe ( beer) nakuchuja....Mimi aliyenipatia hiyo dozi ni mganga mmoja wa kihaya... Yeye akutaka kuniambia anatumia Mimi...Lakini Kuna Bibi wa Kihaya ambae ndo nimuanzilishi amekuwa akiwafundisha wengine....Mimi niliambiwa na mtu (Dada) anaemjua huyo Bibi wa Kihaya....
Bro, hizi ni siri za dunia ambazo wengi tumefungwa kuzijua. Imagine mtu unaacha pombe kwa kunywa kikombe kimoja tuu cha mmea.
Kiukweli kwa hiyo dawa ukinywa Ina surmmarise maisha yako yote toka umezaliwa na kuwa Kama mtoto...Kiufupi nikama in flash ubongo wako....Ni dawa nzuri Sana....
Hii statement ni ya thamani sana, watu hawaelewi tuu.
  • Ilikuchukua muda gani (baada ya kupata dozi) kurudi kwenye hali ya kawaida?
  • Je, ulitapika?
  • Uliweza kutembea na kuongea wakati wa dawa iko kichwani?
  • Uliweza kuona complex geometric patterns?
  • Kuna idea mpya zilizokujia wakati huo?
  • Ukiachana na hamu ya pombe ni kitu gani kingine kimebadilika baada ya kupata dozi?
 
Baba anaenda kuondoa term limit! Na term inaenda kuwa miaka saba.
Your statements are self-contradictory, and a contradiction is a necessary condition of falsehood.

1. Your first statement claims that, terms will be removed.
2. While your second statement states that, term limits will be extended to seven (7) years.

One thing, can under no circumstances be green and yellow at the same time. It's either term limits will be removed or extended, period.

This clearly shows that, you have zero idea of what you are talking about.

You and I have known one another and worked together for far too long and from different forums. I really apologize for coming this way at you, but I had to.
 
Naona Mnaingiza Sias kwenye Mada hii Sijui lengo nilipi
Kwamba Kwa Akili zakawaida Mliamini Lisu Amshinde Magufuli kweli!!
Itoshe kusema Tanzania Bado sana kwenye Upinzani wengi Ni Mamluki
Na Hawajui Wasimame na Lipi
Na Kila kizuri Wakitakacho leo
Kesho kikifanywa na Serikali ni Kibaya kwao
Kiufipi Ningumu Kuruka Mkojo na Kukanyaga Kinyesi
Tuendelee na Mada husika Hapa
Dar Es Salaam Vs Nairobi/Kenya
 
The Overpass 😍
Ek8WF4XU8AMzQ8Y.jpeg
xFWFiRPh.jpg
Ek8WF55UUAIZhjJ.jpeg
 
Your statements are self-contradictory, and a contradiction is a necessary condition of falsehood.

1. Your first statement claims that, terms will be removed.
2. While your second statement states that, term limits will be extended to seven (7) years.

One thing, can under no circumstances be green and yellow at the same time. It's either term limits will be removed or extended, period.

This clearly shows that, you have zero idea of what you are talking about.

You and I have known one another and worked together for far too long and from different forums. I really apologize for coming this way at you, but I had to.
Kwani wewe wa wapi term limit inamaanisha vipindi vya Urais Kikatiba ambavyo ni viwili vya miaka mitano. Sasa unaweza kuongeza miaka kuwa saba huku wakati huohuo ukiondoa zuio la mihula miwili.
 
tuseme ukweli... huku bara Magu ni haki yake kushinda.. hata kama wameiba si kwa magap makubwa kama haya.. wananchi tulitaka mtu anaeleza atafanya nn sio mtu mikutano yote anatukana tukana na mwenye kick za uongo uongo .. na huku mtandaon wanapost vitu vya uongo au matukio ya zaid ya miaka mitano nyuma!
kwenye kura za rais hawana haja ya kupinga, si kwa gaps kubwa hiv..
View attachment 1615516View attachment 1615517View attachment 1615518View attachment 1615519View attachment 1615520
View attachment 1615521
View attachment 1615522
View attachment 1615523
Demokrasia inaingia Tz kwa Nguvu ila nawashauri msikubali Mabeberu waingililie Affairs za Nchi yenu.
 
Magufuli ni binadamu kama binadamu wengine na hufanya makosa pia.

He's not perfect at all, itoshe kusema ameharibu huu uchaguzi 100% kwa tamaa yake ya kushinda kwa kishindo. Haya sasa alitaka Bunge liwe CCM tupu + madiwani amepata, haya tuone Maendeleo sasa.

Eti haya tuone maendeleo, nani akuletee maendeleo ? Ukitaka maendeleo fanya kazi, you lazy bum, ...
 
Back
Top Bottom