Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

au unataka appartments πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
359BB523-AB8D-4368-AD64-E7695DF2EE89.jpeg
 
Sio mv Victoria bwana usitutie gundu! Mv Victoria IPO na inafanya kazi.

Watu wanachanganya Sana. Mv bukoba ndo ilizama ( na so far hakuna Ajali kama hiyo Africa nzima RIP)
Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
images (1).jpeg
 
View attachment 1612360
aliekudanganya nani huyoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
023FE2D8-BB34-4A3F-BDA9-B0041A57FBC6.jpeg
 
bro acha ujinga basi just be serious mm mombasa hakuna kitu utanidanganya, mombasa ina port kubwa kwasababu iko baharini mbona kma huna akili vile

kwnye subrub mwenzio kakiri na kukimbia mbioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kwenye airport utatoa excuse gani?
 
Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
View attachment 1612360
Hiyo ilikuwa zamani.(1996) na imekuwa fundisho.

Sasa hiv meli zinalife boat zinazotosha kama mv Victoria
 
Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
View attachment 1612360
Mbn unaongea mambo ya kitoto hv.
 
Back
Top Bottom