Huu mjadala naona umefikia patamu sana, acha nichukue siti ya mbele
Hakuna Vita kati ya Ethiopia na Egypt...Kipindi Uganda wanapanua Dam yao pale Nile River walitia mikwara Kama ya Ethiopia....Magufuli alisema Ethiopia Wana haki yakutumia Maji ya mto Nile kwa maendeleo ya watu wao...Unajua Aswan High Dam...inavyosaidia kwenye irrigation ya Egypt....achana na umeme maana thats just a pinch...wanaitumia sana..kwa irrigation..inaweza tunza maji hata ya miaka miwili...sasa je Ethiopia ikirudisha bomb..aswan..si hasara na ukame
Rafiki yetu anataka Ethiopia apigwe lakini asilipize mapigo. Hio inafanyika tu darasani mahali ambapo mwalimu anakucharaza kiboko ila huwezi rudisha mapigo. Lakini huku nje, kajamba fulani akiamua kukuzaba kofi basi una haki zote duniani kulipiza mapigo.Kwan unahisi ethiopia hana Fighter jets..? ..wote egypt na Ethiopia wanazo...ndo hvyo ni swala la ku negotiate sio vita...egypt akimwaga mboga/ugali ethiopia hatokubali watafanya hvyo
Ishu ya egypt na wewe kumbe umousisahau githeri sijui gutheri
Asante sana mkuu kwa kuongea ukweli. Ethiopia ana haki ya kutumia maji yake. Hii mambo ya waarabu na wamarekani kutuambia jinsi tutakavyotumia maji yetu haifai. Lazima tutumie maji tuliopewa na Mungu. Wakitaka vita pia na iwe, Ethiopia sio waoga. Ethiopia ndio nchi pekee ya kiafrika kuwacharaza vita na kuwashinda wakoloni wao. Hao wakoloni walishindwa kabisa kuidhibiti Ethiopia ikabidi wasalimu amri na kurudi kwao Italia.Hakuna Vita kati ya Ethiopia na Egypt...Kipindi Uganda wanapanua Dam yao pale Nile River walitia mikwara Kama ya Ethiopia....Magufuli alisema Ethiopia Wana haki yakutumia Maji ya mto Nile kwa maendeleo ya watu wao...
Hakuna Vita kati ya Ethiopia na Egypt...You can win the war but at the end loose the battle....Swali nije anachokipigania Egypt kipo nchini kwake...?? Kwani Dam mbili za river Nile zilipojengwa maji yalipungua Egypt...?? Kwanza ujazo wa maji ziwa Victoria umeongezeka...Kwan unahisi ethiopia hana Fighter jets..? ..wote egypt na Ethiopia wanazo...ndo hvyo ni swala la ku negotiate sio vita...egypt akimwaga mboga/ugali ethiopia hatokubali watafanya hvyo
Ishu ya egypt na wewe kumbe umo
😂😂😂😂😂huyu jamaa ni punguani!😂😂 eti hiyo ni suburb, a combined village residentials anaita "kubwa"😂😂, Mombasa Nyali estate pekee is even bigger than the whole Mwanza's CBD area!😂😂😂 ni ilee u cannot get a whole pic kwa pamoja😂😂😂, Mombasa ni Dar kimpango. Mwanza Eldoret gave it a knockout, fair n square😂😂😂 eti 2nd city!😂😂.,Inajiitaje basi
Mbona waogopa
Whaat! Hii ni taarifa ya kweli ama propaganda ya ku destroy Lissu? Hawa watu are secretive sana as a secret society sidhani it is too easy kujua members hivi hivi!., it has members from across political divide n high religious leaders n captains of industries., na hata wanafunzi wa vyuo vikuu., hii noma!
Kama hujui Egypt ifanye nini katika hili, sasa mbona unapinga pale Egypt pamoja na USA wakikubaliana kwamba njia pekee ilitobaki ni kulishambulia hilo bwawa?. Wewe na viongozi wa Egypt yupi anajua zaidi umuhimi na hasara za kulipua hilo bwawa?.
Ukweli ni kwamba, there ia no life in Egypt without water from river Nile", hilo bwawa la Aswan huko Egypt linategemea maji ya mto Nile. Kwa kifupi ni kwamba, maji ya mto Nile is a matter of life and death for 90% of Egyotians. Kama Ethiopia itaendelea kujaza bila kufikia makubaliano, Egypt haina "option" isipokua ni kulipiga MABOMU.
Kama Abiy Ahmed ataamua kujibu mapigo kwa kuipiga Egypt badala ya kurudi katika meza ya mazungumzo, atakua ameisaidia Egypt kuichakaza Ethiopia na kuliharibu kabisa hilo bwawa kiasi kushindikana kabisa kufanyika ukarabati siku zijazo. Ni matumaini yangu kwamba Ethiopia itasalimu amri mapema na kurudi katika meza ya mazungumzo kabla ya kudhalilishwa katika vita ambavyo nafasi ya Ethiopia kushinda ni ndogo sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Si waelewa tena, nadhani utakua umeshanielewahuyu jamaa ni punguani! eti hiyo ni suburb, a combined village residentials anaita "kubwa", Mombasa Nyali estate pekee is even bigger than the whole Mwanza's CBD area! ni ilee u cannot get a whole pic kwa pamoja, Mombasa ni Dar kimpango. Mwanza Eldoret gave it a knockout, fair n square eti 2nd city!.,
A ka section of pwani old town residential area;
View attachment 1611744
View attachment 1611745
Ethiopia hana ndege zenye uwezo wa kufika Egypt, ila Egypt anazo zenye uwezo wa kufika EthiopiaKwan unahisi ethiopia hana Fighter jets..? ..wote egypt na Ethiopia wanazo...ndo hvyo ni swala la ku negotiate sio vita...egypt akimwaga mboga/ugali ethiopia hatokubali watafanya hvyo