Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tusisahau kuwa maendeleo hayo hayakuletwa na "domokrasia" bali udikteta wa hali ya juu, tena kwa miaka zaidi ya 200 ya free labor (utumwa). Pia wanawake hawakuruhusiwa kupiga kura mpaka 1920.
Wacha ligi zisizo na kichwa wala miguu! Utumwa ulikuwapo kila mahali hata nchi za kifalme! Huwezi kui-discredit the US kwa utumwa halafu ukaiacha UK au nchi yoyote duniani kipindi hicho!
 
rudi page za nyuma mbona rahisi tu
Ama wacha nikusaidie,
Kati ya hzo pichwa umeleta nakujisifia ya kwamba ndio suburb kubwa mwanza..
Ni gani hapo
20201023_233009.jpg
20201023_233108.jpg
 
Jiangalie mko wapi ingekuwa hivyo mngekuwa na flight zenu directly from dar!

Hapana mzee hebu pitia source zako vzr.

Hizo data ulizoleta zinaishia mwaka 2013 . bukoba airport kabla hata haijajengwa . bukoba kulikuwa na airstrip ndogo Tu na ndege ndogo ndo zilizokuwa zinatua Tu hapo.
Na abiria wengi wa bukoba waliishia mwanza na kupanda meli.

Lakini baada ya uwanja kujengwa na kupanuliwa na kuwa na runway 1.7 km ( na upanuzi bado unaendelea ili walau ufikie 2 na ushee km . Kuna nyumba zimewekewa X) abiria wa bukoba wamekuwa wengi zaidi na Kwa sasa ni moja ya busiest airport in Tanzania.

Mashirika ya airTanzania, precision na auric yanaenda mara mbilimbili bukoba kila siku. Na Hadi fastjet walishaanza kwenda bukoba kabla hawajafirisika.

Tanzania hapa takwimu kutoka TAA bukoba ni uwanja wa Tatu Tanzania Kwa daily abiria Kwa viwanja vya ndani Tanzania bara.
Screenshot_20201024-054315.jpg
 
View attachment 1610092
Hili me mwenyewe nalijua, Bukoba ni soko zuri la Airtanzania
 
Back
Top Bottom