Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Morogoro road downtown

IMG_2699.jpg
 
Ngoja wewe na mwezio Teargass niwaonesha kasoro iliyopo ya nadharia ya kuweka nchi zote kwenye kapu moja la umaskini kwa kigezo cha kupata chini ya $1.90 kwa siku.

Kama dhumuni la pesa ni kununua, swali la kujiuliza ni je, hiyo $1.90 inaweza kununua nini?

kama kuna nchi 'A' ambayo $0.99 inanunua milo miwili ya siku na nchi 'B' $3 haiwezi hata kununua mlo mmoja, utamuitaje mtu wa nchi 'A' masikini wakati anaweza kupata chakula kwa $0.99? Utatumiaje kigezo cha $1.90 kuelezea umaskini wa nchi zote mbili?

Je, hamuoni kuwa yule wa nchi 'B' asiyeweza kula kwa $3 ndiyo masikini kwasababu inabidi apate msaada wa chakula?
Swali la WB hili unawapa hawa vilaza low IQ hawawezi kukujibu.
 
Yani jamaa kwenye hiyo video kaongea lies yani mpaka inatisha. Yani hata ndugu zetu wa kunyaland hawawezi ongea uongo wa hali ile kuhusu sisi. I suspect an insider gave him those fake infos so that they just attain their political goal.

Look at the clips he used . It must me a Tanzanian traitor who gave him such videos. I feel sorry for the guy and that traitor. Sisi tunasonga mbele tu! !
Original video ilikuwa ni hii hapa, huwa naibia ibia kispaniola, nilipoiona nilishangaa sana jamaa alivyokuwa anadanganya.

 
In fact na ujinga wao hawajui nusu ya deni letu inamilikiwa na benki za Kenya. Internal borrowing is far much better than external na ndio maana JAPAN debt to GDP ratio yao ni karibia asilimia 200.

Wanashangaa profits za benki zetu huishia wapi. Wao hata mabenki haziwezi kopesha GoT

Lanes bana! LANES.

Ati battle.. WHAT BATTLE? HAHAHAHA
52% ya deni la Kenya ni deni la nje, wacha kudanganya watu
 
Back
Top Bottom