Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha sasa wanaanza campaign kabla NEC yao haijawaruhusu?

Halafu Kenya ni ghetto republic yaani makamu wa Rais anainanga serikali anayoiongoza na Rais ambae ni mkuu wake 🤣🤣🤣 hivi mama Samia anaweza kumnanga Magu? 😂
Kwa mama Samia na JPM mbali sana, hata yule mwanafizikia wetu wa ma protons na neutrons, mzee wa mkasi... hakuwahi kusema kitu Mbele ya JK.
 
Watu ndo wajue elimu ya Tanzania kiboko. Hawa panya wa SUA wamesidia sana kutegua mabomu Angola. SUA pia wanapanya wanaoweza kutambua samples za TB, accuracy yao ni kubwa na wanatambua haraka sana kuliko hata kutumia x ray ambayo usomaji wake una human error.

Mimi ni mwamini sana wa ku blend teknolojia ya viumbe hai na ya kisasa ili kutatua matatizo yetu (mf kutumia mbwa kupima kisukari). Tunaweza hata kuwa train bundi kuweza kunusa hormones zinazomtoka mtu aliye na wasi wasi (suspects), hasa kwenye maeneo sensitive kama airport. Bundi huwa wanauwezo wa kunusa harufu inayotokana na metabolic activities za mtu anayekaribia kufa, tena akiwa mbali sana. Hawa wanaweza kuwa trained kujua kama mtu yuko nervous au kama anaficha kitu.

Tunaweza kutrain wanyama wenye sifa mbali mbali ili watusaidie kuvumbua sehemu yenye madini, mafuta na hata gesi bila ya kuagiza teknolojia nje kwa bei ghali. Anyways, maybe I need to shut up before I give these nyang'aus billion dollar idea. ;)
 
this is how students and learners fail. read that quote again and tell me who said that is a concrete jungle 😂
sasa kama ulijua so ww umesema kwamn umepost wewe sasa, hvi ww unajua concrete jungle inavokaa au unafkiri ni githeri ile😀
 
Chekini wanafunzi wa kenya walivyokuwa na high IQ
255784689009_status_95dcde3b1e0c471ca94bcdfce9a9d436.jpg
 
Back
Top Bottom