Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimaniiiiiiiiiiii,,,I tell you is under boom,,here,there,new towers being constructed,, below upcoming 20flr tower and its progress,,
IMG_20200812_104238.jpg
images - 2020-04-09T162631.710.jpeg
 
Natoka nje ya mada kidogo ila hili wazo litamake sense kidogo!
Chukulia wadada wa chuo hapa bongo wanavojishauaga kubonga ngeli kwenye madala dala au kwenye occasion yoyote TU ile ambayo hakuna ulazima wa kutumia code mixing au kuongea ngeli kabisa,Hawa wadada wao wanajikutaga zile Kama wapo New York fulan hivi mashauzi kibao kama wapo Hollywood fulani' hivi hata baadhi ya vyakula wanasusiaga kula lakini nyuma ya pazia wanavipiga najua mshawajua wadada wa dizain hii wa vyuo,hapa Ni sawa na kunyan kujua ngeli na sawa na Hawa warembo wetu🤣🤣 wanadhani Lugha ndio kila kitu yaani Kuna ushamba fulani' hivi afu Dharau za kiboya Sana,Kunyan wengi Ni washamba Sana nilivofatilia hizi thread Kunyan washamba sana huenda tunabishana na watu hata Nai hawapajui,kiukweli ukitembelea kurasa nyingi iwe YouTube au sehem yoyote ile kipostiwe kitu Cha Tz lazima Kunyan wawepo kukandia sijajua labda Kuna mtaala shulen kwao wanfundishwaga namna ya kuiponda bongo afu sisi tunapeta tu,afu ukiwa bongo sisi uwa tunawasifia Sana nyie Kunyan Ila mmelewa sifa Sana! Sisi hatupigan kwa midomo Kama nyie tutakua tunaangusha mavituz tu mpaka heshima ije,napata shida ku-identify Kenyan gender humu social media kwasababu mnabonga Kama wadada wa code mixing 😂😂 umeona hiyo mijengo tuliopost,barabara,sijui airport hakuna janja janja tunatumia lugha ya Taifa Kiswahili pure Lugha haikufanyi wew usiwe Kunyan Kunyan Ni maasai tu anaejua English yenye accident ya kikamba,kijaruo na kimasai😂😂

PS. Nitapost video ya kibera baadae watu wanapiga ngeli ila nyumba Sasa🤣🤣
 
Natoka nje ya mada kidogo ila hili wazo litamake sense kidogo!
Chukulia wadada wa chuo hapa bongo wanavojishauaga kubonga ngeli kwenye madala dala au kwenye occasion yoyote TU ile ambayo hakuna ulazima wa kutumia code mixing au kuongea ngeli kabisa,Hawa wadada wao wanajikutaga zile Kama wapo New York fulan hivi mashauzi kibao kama wapo Hollywood fulani' hivi hata baadhi ya vyakula wanasusiaga kula lakini nyuma ya pazia wanavipiga najua mshawajua wadada wa dizain hii wa vyuo,hapa Ni sawa na kunyan kujua ngeli na sawa na Hawa warembo wetu wanadhani Lugha ndio kila kitu yaani Kuna ushamba fulani' hivi afu Dharau za kiboya Sana,Kunyan wengi Ni washamba Sana nilivofatilia hizi thread Kunyan washamba sana huenda tunabishana na watu hata Nai hawapajui,kiukweli ukitembelea kurasa nyingi iwe YouTube au sehem yoyote ile kipostiwe kitu Cha Tz lazima Kunyan wawepo kukandia sijajua labda Kuna mtaala shulen kwao wanfundishwaga namna ya kuiponda bongo afu sisi tunapeta tu,afu ukiwa bongo sisi uwa tunawasifia Sana nyie Kunyan Ila mmelewa sifa Sana! Sisi hatupigan kwa midomo Kama nyie tutakua tunaangusha mavituz tu mpaka heshima ije,napata shida ku-identify Kenyan gender humu social media kwasababu mnabonga Kama wadada wa code mixing umeona hiyo mijengo tuliopost,barabara,sijui airport hakuna janja janja tunatumia lugha ya Taifa Kiswahili pure Lugha haikufanyi wew usiwe Kunyan Kunyan Ni maasai tu anaejua English yenye accident ya kikamba,kijaruo na kimasai

PS. Nitapost video ya kibera baadae watu wanapiga ngeli ila nyumba Sasa
Kenya kupiga ngeli sio ajabu, kw sababu tangia chekechea lugha inayotumika sana ni kingereza..
Sasa wewe unaotakiwa kuwashangaa ni hao wadada wenu wa chuo, manake sasa ukiangalia mfumo wenu wa elimu english inakuja part2..kiufupi wao ndio wanashobo na kingenge
 
Kenya kupiga ngeli sio ajabu, kw sababu tangia chekechea lugha inayotumika sana ni kingereza..
Sasa wewe unaotakiwa kuwashangaa ni hao wadada wenu wa chuo, manake sasa ukiangalia mfumo wenu wa elimu english inakuja part2..kiufupi wao ndio wanashobo na kingenge
Hujaelewa nilichoandika wala sikuwa katika mfumo wa lugha kwa mantiki hiyo😂😂 Nani asiejuwa kuwa sisi English Ni second language bhana
Nimechukulia mfano wa hao dada zetu na viherehere vyenu mtandaoni kujiita Giant of east Africa wakati ushuzi tu hamna kitu soma vizuri najua hujui lugha ya kifasihi ndio nilotumia hapo rudia mara mbili utaelewa😂😂
 
Hujaelewa nilichoandika wala sikuwa katika mfumo wa lugha kwa mantiki hiyo Nani asiejuwa kuwa sisi English Ni second language bhana
Nimechukulia mfano wa hao dada zetu na viherehere vyenu mtandaoni kujiita Giant of east Africa wakati ushuzi tu hamna kitu soma vizuri najua hujui lugha ya kifasihi ndio nilotumia hapo rudia mara mbili utaelewa
Umeanza kukimbia maandishi yako sasa
Hapa hutoki, km ni kiswahili pia hunitatizi
 
Back
Top Bottom