Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.

Kudadadeki tuliwatolea nje wazungu (barrick) na wakaja kupiga magoti yn wao walitoka kwao na raisi wao wakaja bongo kupiga magoti na wakakubali tunachotaka ndo itakuwia nyie Wakenya tunawalisha asbh mchn na ucku?

Yn Magu amenifundisha mengi sana kwakweli, amenifundisha jinc ya kuishi na washenzi pia amenifundisha nithamini na kujivunia changu daima
Ni fahari kweli kweli kuwa Mtanzania.
 
Wakenya baada ya kugundua serikali yao imefanya boko wamekaa kimya now hawaongelei suala la KQ, na wameumia zaidi baada ya kugundua wamekuwa underdog na huwez ckia mkenya humu akiongelea hizo habari tena, yn huu mwaka Wakenya hawatausahau.

Hawajashinda vita hata moja kati ya walizopambana na cc humu gud night WaTz wenzangu na nyie Wakenya niwaombe mvumilie tu cz hamna jinc mkubwa ni mkubwa tu
 
MY fellow neighbours wa south..niliskia kua waga ..dar haina slum..we need to talk here?..the following pictures below i hope you are all familiar with ?

.
1596317271954.png

kumbe your slumz are massive hivi,,but nashindwa mbona waga mnacheka kibera na nyinyi mko na slums tena karibu na city? something which is not in kenya
HII bara bara ni ya morogoro inakupeleka moja kwa moja hadi cbd town..
1596317431244.png

wacha sasa twende kwa ground watch this clip
 
MY fellow neighbours wa south..niliskia kua waga ..dar haina slum..we need to talk here?..the following pictures below i hope you are all familiar with ?

.View attachment 1524388

kumbe your slumz are massive hivi,,but nashindwa mbona waga mnacheka kibera na nyinyi mko na slums tena karibu na city? something which is not in kenya
HII bara bara ni ya morogoro inakupeleka moja kwa moja hadi cbd town..
View attachment 1524391
wacha sasa twende kwa ground watch this clip

ww na google earth nani anaakili zaidiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚ tafuta slums in dar kwenye google earth ukipata mm nafunga acc jamii forumπŸ‘‡πŸ‘‡
32644318-2FE7-4F35-B914-75E7B42F4967.png
 
kibera slum is far away from town...but hizi slum zenu ziko tu karibu na town..naeza sema ni uswazi umejaa
do you know kibera slums have been begun to be upgraded..the following picture shows you soome of the high rise building that are being built in kibera..hayo majengo yako apo top right of the picture..and also not how kibera is located far away from cbd town ..separated by southern bypass road...
1596318072064.png
 
kibera slum is far away from town...but hizi slum zenu ziko tu karibu na town..naeza sema ni uswazi umejaa
do you know kibera slums have been begun to be upgraded..the following picture shows you soome of the high rise building that are being built in kibera..hayo majengo yako apo top right of the picture..and also not how kibera is located far away from cbd town ..separated by southern bypass road...View attachment 1524400
hehehe eti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡5km from CBD
3177C67C-6EB5-4E38-8C66-A7D3701D8660.jpeg
 
Back
Top Bottom