Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Km vile LeizerKm vile moh dewiji
Km vile LeizerKm vile moh dewiji
Cyo mbali tu hata karbu kuko classic km hiviHiyo picha sio zamani vile. Tena nilikuwa naitoa kama mfano ambapo majumba mazuri kama hili hujengwa katika ya eneo la kushangaza.
View attachment 1524055
Lakini ukichukua picha kwa mbali huonekana vizuri. Kama hivi
View attachment 1524061
Lakini ukweli ni kama hivi
View attachment 1524062
Vitu konkiiUnder Construction
View attachment 1524170
Yn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.Baada ya kubana sana mchumba kaachia tunaelekea Getto....
Ni kwasababu hayo ni maendeleo mapya, miaka 7 iliyopita hayo maghorofa hayakuwepo.Wajua Bongo kuna architecture nzuri kwa building kadha. Ila mpangilio hakuna. Kama hapa. Ona Morocco Square, ona barabara nzuri, lakini hebu angalia kandokando. Nairobi yaweza kuwa na Slum lakini zina mahali pake sio kila sehemu ilivyo Dar
Tanzania kuna demokrasia ya hali ya juu kwenye kuachia watu kujitafutia riziki. Hatuna ma cartel wakuzuia watu wadogo wadogo kufanya biashara.Sehemu nyingi Dar huwa hivi, hata kando ya Posta karibu na bahari huwa na wavuvi na wamechafua eneo hilo ajabu. Sehemu kama hizi huharibu taswira ya jiji hili la Dar es Salaam
Kwani hao wengine forbes iliwajuaje?Kulingana na jarida la forbes, ww hujui km kuna watu wana hela lkn forbes haiwatambui
Hapo uongezeke msumari mwingine wa glass kama 35 floor hivi dah haya majengo ni mazuri sana,
Kumbe mnajijua kwamba nyie ni manyang'auHehehe!!yani kitu ambacho nyangau hapendi ni kujitekenya ili aingie forbes..
Kw mfano tu, nenda katika jaribu la forbes uone km utamkuta jimmy wanjigi
Damn!!! what a nice shot.Kawawa roadView attachment 1524053
Hata Wakenya wenzako wanakushangaa kwmb mbn unaweka picha kali za bongo ambazo hata kenya hakuna, watahisi umewasaliti bro be care bhnHiyo picha sio zamani vile. Tena nilikuwa naitoa kama mfano ambapo majumba mazuri kama hili hujengwa katika ya eneo la kushangaza.
View attachment 1524055
Lakini ukichukua picha kwa mbali huonekana vizuri. Kama hivi
View attachment 1524061
Lakini ukweli ni kama hivi
View attachment 1524062
swali zuri sanaKwa
Kwani hao wengine forbes iliwajuaje?
Raha kama zote..moyo wangu!Hawana uwezo wa kukaza hata kidogo mi nilikuwa nacheka tu comments za watu za humu JF zakujitutumua Kenya Airways wanategemea sana tena sana soko la Tanzania katika aviation ndani ya East Africa!!!!na wanafanya vizuri kwa sababu kuna movement kubwa sana kati ya Kenya na Tanzania kutokana na muingiliano wa kiuchumi kati ya nchi hizi mbili ukichanganya na idadi ya watu kiuhalisia wao ndio wenye nyama kubwa kwa sasa!!!!!na wanafaidi sana,Ni wakati wa kunegotiate Air Tanzania kuanza kuruka kwenye anga la Kenya kibiashara. Na hii ndo itakuwa matanga ya KQ rasmi.SA wenyewe wametugwaya.....!!!!!!!!!.Sembuse huo ubwabwa wa hapo juu!!!!!!Tutaula mchana kweupeeeeeeeee!!!!!!!!
Hivi Wakenya walikuwa wanajua tng mwanzo kwamba Tz iko hv? Au walikuwa wanajua wao pekee ndo wanajengewa nchi na wazungu af wengine huku tumelala
kuna yule mkuu alisema "hawa ni kama wake zetu akitaka mimba unampa tuu"wapw babaa!Huwa wanasema hatuongei na **** , tunaongea na mwenye **** ndio anaongea hapo.
View attachment 1523919
Tanzanian passengers will not be turned away,Ila Sisi tuliwarudisha viongozi wao juu kwa juu, hata hamuoni tunawdharau?magufuli munamjua nyinyi au😂😂👇👇
View attachment 1523841
Af hao wanatoka mkuu yale masoko hawajajengewa mbuzi.Wavuvi Wamechafua?
Hao Ni Wajasiliamali Wdogo Na Tumewaruhusu Kusudi Wapate Kipato Since Wanalipa Kodi Hao
Mkuu yale masoko hawajajengewa sokwe mkuu.upo sawa kiasi wanjala,,,,
suala la wamachinga kuachiwa kutapakaa ni tatizo sana ila uzuri hiyo si sehemu yao maalum hapo mda wowote wanaweza kutimuliwa....
kidogo siasa inatuletea shida.....
leo umecheza na point nakupongeza ila kwa hapo kijitonyama si sehemu mbaya hata siku ukija dar tembelea utaona
fact....mkuuYn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.
Kudadadeki tuliwatolea nje wazungu (barrick) na wakaja kupiga magoti yn wao walitoka kwao na raisi wao wakaja bongo kupiga magoti na wakakubali tunachotaka ndo itakuwia nyie Wakenya tunawalisha asbh mchn na ucku?
Yn Magu amenifundisha mengi sana kwakweli, amenifundisha jinc ya kuishi na washenzi pia amenifundisha nithamini na kujivunia changu daima
Go https://jamii.app/JFUserGuide yourself. We’re not interestedI wonder what they built those towers for, Tanzanians don't practice modern commerce. They do batter trade, one albino exchanges with 2 goats and 2 black chicken.