Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo picha sio zamani vile. Tena nilikuwa naitoa kama mfano ambapo majumba mazuri kama hili hujengwa katika ya eneo la kushangaza.
View attachment 1524055
Lakini ukichukua picha kwa mbali huonekana vizuri. Kama hivi
View attachment 1524061

Lakini ukweli ni kama hivi
View attachment 1524062
Cyo mbali tu hata karbu kuko classic km hivi
JamiiForums-1556857811.jpg
JamiiForums-1557469103.jpg
 
Baada ya kubana sana mchumba kaachia tunaelekea Getto....

Yn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.

Kudadadeki tuliwatolea nje wazungu (barrick) na wakaja kupiga magoti yn wao walitoka kwao na raisi wao wakaja bongo kupiga magoti na wakakubali tunachotaka ndo itakuwia nyie Wakenya tunawalisha asbh mchn na ucku?

Yn Magu amenifundisha mengi sana kwakweli, amenifundisha jinc ya kuishi na washenzi pia amenifundisha nithamini na kujivunia changu daima
 
Wajua Bongo kuna architecture nzuri kwa building kadha. Ila mpangilio hakuna. Kama hapa. Ona Morocco Square, ona barabara nzuri, lakini hebu angalia kandokando. Nairobi yaweza kuwa na Slum lakini zina mahali pake sio kila sehemu ilivyo Dar
Ni kwasababu hayo ni maendeleo mapya, miaka 7 iliyopita hayo maghorofa hayakuwepo.
Sehemu nyingi Dar huwa hivi, hata kando ya Posta karibu na bahari huwa na wavuvi na wamechafua eneo hilo ajabu. Sehemu kama hizi huharibu taswira ya jiji hili la Dar es Salaam
Tanzania kuna demokrasia ya hali ya juu kwenye kuachia watu kujitafutia riziki. Hatuna ma cartel wakuzuia watu wadogo wadogo kufanya biashara.

Hayo maeneo ya posta ya zamani yalikuwa ni sehemu za kupumzikia, sasa hivi fukwe imefungwa. Eneo hilo liko kwenye mpango wa kuimarishwa, ila kwakuwa bado mikakati haijaanza, ndio maana kunaonekana hivyo.
 
Hawana uwezo wa kukaza hata kidogo mi nilikuwa nacheka tu comments za watu za humu JF zakujitutumua Kenya Airways wanategemea sana tena sana soko la Tanzania katika aviation ndani ya East Africa!!!!na wanafanya vizuri kwa sababu kuna movement kubwa sana kati ya Kenya na Tanzania kutokana na muingiliano wa kiuchumi kati ya nchi hizi mbili ukichanganya na idadi ya watu kiuhalisia wao ndio wenye nyama kubwa kwa sasa!!!!!na wanafaidi sana,Ni wakati wa kunegotiate Air Tanzania kuanza kuruka kwenye anga la Kenya kibiashara. Na hii ndo itakuwa matanga ya KQ rasmi.SA wenyewe wametugwaya.....!!!!!!!!!.Sembuse huo ubwabwa wa hapo juu!!!!!!Tutaula mchana kweupeeeeeeeee!!!!!!!!
Raha kama zote..moyo wangu!
 
upo sawa kiasi wanjala,,,,

suala la wamachinga kuachiwa kutapakaa ni tatizo sana ila uzuri hiyo si sehemu yao maalum hapo mda wowote wanaweza kutimuliwa....

kidogo siasa inatuletea shida.....

leo umecheza na point nakupongeza ila kwa hapo kijitonyama si sehemu mbaya hata siku ukija dar tembelea utaona
Mkuu yale masoko hawajajengewa sokwe mkuu.
 
Yn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.

Kudadadeki tuliwatolea nje wazungu (barrick) na wakaja kupiga magoti yn wao walitoka kwao na raisi wao wakaja bongo kupiga magoti na wakakubali tunachotaka ndo itakuwia nyie Wakenya tunawalisha asbh mchn na ucku?

Yn Magu amenifundisha mengi sana kwakweli, amenifundisha jinc ya kuishi na washenzi pia amenifundisha nithamini na kujivunia changu daima
fact....mkuu
 
Back
Top Bottom