Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,529
- 2,969
Eti Uhuru kabisa amekusanyana na raia wake maskini wanazindua Gari moshi la miaka ya 1800.....ilo si wangemwachia mwenyekiti wa kijiji azindue ?
Eti Uhuru kabisa amekusanyana na raia wake maskini wanazindua Gari moshi la miaka ya 1800.....ilo si wangemwachia mwenyekiti wa kijiji azindue ?
Kenyan diesel milling mashine
Hiyo ndio shida na ugumu wa uongozi katika inchi hizi za dunia ya tatu. Kumbuka kwamba, kazi mojawapo ya Serikali ni kuhakikisha pesa inazunguka katika uchumi kwa njia mbalimbali, moja wapo ni kuiwezesha sector binafsi kwa kuzipa tenda za kazi.Hiyo hoja ni potovu ni kama kipindi computer zinaingia ilionekana zitaua ajira ,
Hao wafanyakazi na wasomi watakuwa wanaajiriwa jeshini pia kama ni hivyo unavyo sema kwanini hao mainjinia wasiwe wanajenga vizuri ili serkali isije kuwa replace na jeshi ? Kitu cha muhimu ni right decisions siyo kulea upuuzi
Wanajenga barabara hazina lock kuzuia zisimomozoke na zipo chini ya level ya udongo matokeo yake tunawapa kazi watu kufagia michanga kila siku na mavumbi ,cheki barabara za Uganda zilivyo chafu vumbi tupu niujinga kuendelea kutumia wajenzi local wakati wameshindwa kazi
Pia nahisi GOT haitaki kurukia decision tu na kuanza kulipa..madai yake it might take more timeHuyu mkulima anatuaibisha sn co tu kutukosesha mapato, km anatudai c alipwe mana km tunaweza kuwalipa yapi merkezi tunashindwaje kamtu kamoja? Yn kamtu kamoja tu ndo katusumbue hv labda huyo mkulima ndiyo SA ynyw lkn co mtu mmoja eti asumbue nchi kubwa kama Tz.
Kikubwa angesema kwamba wakandarasi wanaofanya below quality wasilipwe hadi standars zifike nzuri as required..lakini hili la kusema jeshi..ni boko cause mznguko wa hela utapunguaHiyo ndio shida na ugumu wa uongozi katika inchi hizi za dunia ya tatu. Kumbuka kwamba, kazi mojawapo ya Serikali ni kuhakikisha pesa inazunguka katika uchumi kwa njia mbalimbali, moja wapo ni kuiwezesha sector binafsi kwa kuzipa tenda za kazi.
Serikali isingeshindwa kuukabidhi mradi wa BRT kusimamiwa na SUMA JKT, au kuamua kusiwepo na Private security Companies badala yake wakatengeneza kitengo ndani ya jeshi kwa ajili ya kufanya kazi ya kulinda, kwa kufanya hivyo tusingesikia wizi wa pesa zinazohamishwa kutoka Benk, na jeshi lingepata pesa nyingi sana.
Hivi kwanini hizi kazi za ujenzi wa reli ya SGR na ukarabati wa reli za Zamani, Serikali haikuamua kutumia wanajeshi na JKT ambao wapo katika kambi na hawahitaji kulipwa kwasababu tayari wanaomshahara wao, huoni kwamba tungepunguza sana gharama za ujenzi na ukarabati?.
Lazima Serikali itoe kazi kwa sekta binafsi ili kuchochea uchumi, kinachohitajika ni kuyasimamia hayo makampuni binafsi ili yafanye kazi yenye ubora unaokubalika, mbona hiyo barabara ya Kibaha inafanywa na kampuni la kitanzania lakini ipo vizuri sana, mbona Stendi mpya ya Dodoma imejengwa na watanzania, mbona Songoro marine ni watanzania?
Watu wanakong'otana vitasa!facebook 😂😂😂😂😂
Its sad and unintelligent of Kenyans being taken for a ride by the Chinese, yet they claim to be more smarter by mastering the English language than us. This obviously will teach them a lesson that speaking English does not make you smarter. Tanzanians are more smarter and creative than them compared to how we deal with the Europeans and Chinese. We feel sorry for our neighbours for being so naive, stupid, and worst of all, for being so corrupt.Kenyan diesel milling mashine
jamani sio mm 😂😂😂😂 msinichonganisheKenyan diesel milling mashine
Mkuu hii ni noma!daah,kunayo watu wana maudhi.....sio haya jamenijamani sio mm msinichonganishe
na ukiangalia yanaukweli 😂😂😂Mkuu hii ni noma!daah,kunayo watu wana maudhi.....sio haya jameni
So Nairobi ni kama London,hehehehehlack of creativity majengo mengi nairobi wanaiga yale ya London!
So Nairobi ni kama London,sio?,hehehehehlack of creativity majengo mengi nairobi wanaiga yale ya London!
Shida ndio iko hapo,uwezi kukanusha.na ukiangalia yanaukweli
Cheaper, ghetto version of londonSo Nairobi ni kama London,sio?,heheheheh