Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soon kitaeleweka
IMG_20200709_121641_9.jpg
 
Mabwawa ya umeme hatukuanza juzi, km ni matanki hatukuanza jana ku install
Sgr ni sgr na tuliwatangulia
Eti sijui flyovers tulipita kitambo, ndege pia vile vile..foot bridge pia tuliqatangulia, highways vile vile..

So msijione eti mna maendeleo kibao basi eti na sisi lazima tufanye, never.. vitu vingi tulishafanya kitambo

Tena huku kwetu vimeshaanza kufanya kazi tayri...
Kwhyo hatuwezi fanana hata siku moja
Vitu gani hvo? Hiyo esijiara mchwara ya kupitishia Gari moshi,na hizo ndege ni zenu ama ni za wanaume?
 
Mabwawa ya umeme hatukuanza juzi, km ni matanki hatukuanza jana ku install
Sgr ni sgr na tuliwatangulia
Eti sijui flyovers tulipita kitambo, ndege pia vile vile..foot bridge pia tuliqatangulia, highways vile vile..

So msijione eti mna maendeleo kibao basi eti na sisi lazima tufanye, never.. vitu vingi tulishafanya kitambo

Tena huku kwetu vimeshaanza kufanya kazi tayri...
Kwhyo hatuwezi fanana hata siku moja
Hahahaha nafurahi kuona kuna vitu umeviruka, jamani WaTz mmeona ss huyu karuka baadhi which means hakuna kitu ipo kenya zen bongo hamna but kuna vitu bongo vipo ila kenya hamna, raha kudadadeki
 
Tangia tz alivyoingia kwenye middle income sijaona mkunyaland hata mmoja anayebisha.

Tutaheshimiana mwaka huu na bado 2020-2025.
wanasubiri mpoe kwa wenge na mihemko maana makelele yamezidi sana kana kwamba Tzn ndio ya kwanza kuingia mido inkamu
 
Back
Top Bottom