Nasubiri nyingine kama hii kujengwa pale Tanzanite alias Selander bridge!
Mkapa alikutana na hazina tupu sasa haikuwa rahisi kufanya haya na ndo maaana ikamfanya aingie mikataba ya hovyo ili tu kupata fedha za kigeni! Though simtetei!Uongozi ni maarifa, haya maendeleo yanayofanyika miaka hii mitano ya mwanzo yalitakiwa kufanyika kuanzia kipindi cha mkapa
hii ni moja kati ya akili kubwa sana.....
Salaaaaleh,kwisha Kazi.
Aisee hio letter imewaingia sana hao jirani maana hawapendi kabisa kusikia TZ ni zaidi yao na ilichukuliwa kwamba walimtikana sana JPM pale awali..."Our big brother in Tz"
Safi sana aisee JPM ni great strategist, hii maana yake ni kwamba sasa mizigo ya DRC itakua inakwenda directly to DRC kwa reli bila ya kupitia a third country (Zambia).
MY TAKE
SGR to Mpanda kuunganisha hii bandari na pia ferry wagons kuunganisha Kalemie na Karema ports!
Ingetusaidia sn kizazi chetu cz now tungekuwa tunaenjoy.Uongozi ni maarifa, haya maendeleo yanayofanyika miaka hii mitano ya mwanzo yalitakiwa kufanyika kuanzia kipindi cha mkapa
Heheheheheeee hii ss sifa, bandari kila kona
MY TAKE
SGR to Mpanda kuunganisha hii bandari na pia ferry wagons kuunganisha Kalemie na Karema ports!