Heheheheheeee mtawauwa kwa presha mwaka huu.
Kitu imetulia balaaa...
Mtafanya watu wakajiue jamannchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986
Mkuu,mbona tumeishaingia MIC!,yaani ni kama vile timu imeshinda uwanjani,inasubiri kukabidhiwa kombe.Mkuu ngoja kwanza tuingie Middle Income kwa kishindo then Wakenya wote watakuwa washajua kwamba Tz ni baba lao ukanda huu.
Yani mpkaaa raha dadeki....kenge moja wa kikenya amesha fungulia uzi....nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986
Noma na nusu
Mtafanya watu wakajiue jaman
Kabla la no of millionaires halijapoa,mmekuja na hili
Mombasa ina milionea wengi kuliko Tanzania Nzima.
Wakuu sijui kuna mtu anajua mipango imefikia ya ili Soko la kisutu?View attachment 1493008View attachment 1493007View attachment 1493009
Asante mkuu.Lipo vizuri, litakua Topped Out , Tukipita tutafanya mambo ya Taswira.
nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986
Ila hawa Mauritius au ni kwasabu ya udogo wa nchi?nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986