Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3712.jpg

IMG_3714.jpg

IMG_3713.jpg
 
Magu kafanya mengi sana ambayo badae am sure yatajibu tu, hususani kwny hizi nyanja mbili za Ajira na Afya, kote huko kapita;

i. Kwenye ajira katengeneza miundombinu mingi na mingine bado inajengwa ambayo kwa hakika itavutia wawekezaji kuja kuwekeza hapa Tanzania na kuongeza fursa kwa vijana, pia mazingira mazuri kwa wawekezaji itachochea kurahisisha ufanisi katika nyanja hiyo,

ii. Kwenye sekta ya afya kajenga na kuboresha vituo vya afya na hospitali nyingi kiasi chake ambapo kilichobaki ni uwekaji vifaa vya kutosha, ambapo tayari kuna baadhi ya hospitali zimeshawekwa vifaa vya kisasa lakini pia amechochea sn ktk ujenzi wa viwanda vya kutengeneza dawa ambapo itapunguza utegemezi mkubwa wa dawa kutoka nje na kufanya unafuu wa upatikanaji wa dawa hizo hapa hapa nchini.

Kilichobaki ni suala la muda tu kabla Tz hatujaanza kufaidi matunda ya kinachofanywa na huyu mzee, ofcz mpk ss con km kuna kiongozi anayetosha kum replace Magu na akafanya japo kwa kumkalibia kwa miaka ya hivi karibuni, watuache kwanza na huyu jamaa, tukiona akili na uwezo wake umepungua tutajua kwamba ameshazeeka hivyo kabla hajatoka tutamuomba arekebishe baadhi ya vifungu vya katiba ndo tumkabidhi nchi huyo ajaye.
 
Back
Top Bottom