Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,012
- 11,698
hilo mbona wanalielewa sema huwa wanaigiza kwa kujifanya wehuLeo hawatatokea humu aibu yake c ya kitoto, ila wakenya kupitia sisi nadhani wataanza kujitathmini pia watakuwa wamegunduwa kuwa mtanzania ni mtu hatari sana, ya kwamba mtanzania anaijua kenya vzr pengine kuliko wakenya wengi lkn wao wakenya hawaijui kabisa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app