Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikua nasema hapa kila siku two river yenye sqm 65,000 ambayo ndio kubwa EA and Central kama tukiipanga katika list kwakuangalia ukubwa basi Ni ya mbali sana Kuna jamaa wakenya wakawawabishi sana

Sasa nimeona isiwe kesi nadondosha kwenu idadi ya Malls kubwa RSA Alafu mjionee wenyewe
1.Johannesburg
2.Cape town
3.Durban
4.Pretoria
5.Port ElizabethView attachment 1323218View attachment 1323225View attachment 1323220View attachment 1323222View attachment 1323223View attachment 1323226View attachment 1323228

Sent using Jamii Forums mobile app
Now Nicxie und Teargass where r Kunyaland malls plus size!
 
Hii hapa sitachoka kuangalia. Pinnacle and 88 Nairobi will tower over GTC in the background by 2030 if all goes well. The most interesting part is that Upperhill and Community areas still have quite a lot of undeveloped spaces. Just imagine taking another picture in 2040 from the same location

View attachment 1323200
You have a lot of unfinished business
Look at this
tapatalk_1578901549263.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you're myopic usiite wenye foresight wajinga. Things just don't happen in the snap of a finger unless gold ipatikane Athi River. But why should I tell you this na umeshinda ukiimba mwakani?
So this yr of 2020 we r probably going to have bullet train in Tanzania for the first time..kenya will have it in 2040 if God wishes

cc mr 2040

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So this yr of 2020 we r probably going to have bullet train in Tanzania for the first time..kenya will have it in 2040 if God wishes

cc mr 2040

Sent using Jamii Forums mobile app
nilikuwa nimekupa heshima lakini sasa zii. Bullet train ikienda wapi? what economic value? ROI? who will finance it? unless you're talking of a bullet train from Nairobi to Dar, hiyo ingine ni hewa tu
 
Kwani kuna tunachofanya kwa manufaa yenu?Hii ni sovereign state tunagoals zetu na kama ingekua inamanufaa tungeilekeza Nairobi but So kama ni heshima yangu itunze tu nothing is personal kwa hii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a lot of unfinished business
Look at this View attachment 1323236

Sent using Jamii Forums mobile app

There's a reason Nairobi is the most dynamic city in Africa. Highly diversified economy si kutegemea port, minerals, oil ama tourists tu. Even with Al Shabaab, pilling debts na political uncertainty bado tunasonga. Pitia hii album nimecompile and make a point of visiting Nairobi. $200 one weekend na hutawai rudi kwenye huu uzi tena 😂 😂

skyscrappercity Nairobi metro thread.jpg
upper0.jpg

upper3.jpg

le mac.jpg

westlands to uppperhil.jpg

fcb mihrab back.jpg
prism1.jpg

Leadership center.jpg

Kili00.jpg

bunge.jpg

mama ngina1.jpg

iandm.jpg

university way1.jpg

uniuhuru.png

cbd community.jpg
 
Kwani kuna tunachofanya kwa manufaa yenu?Hii ni sovereign state tunagoals zetu na kama ingekua inamanufaa tungeilekeza Nairobi but So kama ni heshima yangu itunze tu nothing is personal kwa hii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
You are sovereign but am only thinking out loud. Kama mwananchi you need to scrutinize such. Hii ndio mchezo ilifanya Jubilee kuingia serikali na miaka 8 sasa hawajafanya cha maana ila wizi tu
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom