Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi ninakinzana na ww kuwa unasema sisi Tz tunakodishiwa ardhi.
Hayo mambo ya kenya land ownership mm sikutamka.
ILA NILIKUA NAKUPINGA ULIVYOSEMA KUWA SISI TUNAKODISHIWA ARDHI HATUMILIKI.
Kumbe ww msahaulifu hivi???
PhotoGrid_1570695241585.jpg
PhotoGrid_1570692426385.jpg
 
Nikikikwambia ww huna akili unabisha.
Rudi shule.


SURA YA PILI
MASUALA MUHIMU KATIKA SERA NA SHERIA ZA ARDHI NCHINI TANZANIA
SERA YA TAIFA YA ARDHI YA 1995
Sera hii inaweka kanuni za msingi zinazotawala mfumo mzima wa umiliki, usimamizi na matumizi ya ardhi nchini. Kanuni hizo ni pamoja na:-
· Kutambua kuwa ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na kuwa imewekwa mikononi mwa Rais kama mdhamini kwa niaba ya raia wote.
· Kulipa fidia kamili, ya haki na kwa wakati kwa mtu yeyote ambaye haki miliki inafutwa matumizi yake.Pia kuwezesha ardhi kugawiwa kwa haki na kupatikana kwa raia wote
· Kuwawezesha raia wote kushiriki katika kutoa maamuzi ya mambo yanayohusiana na milki au matumizi yao ya ardhi.
· Haki ya kila mwanamke kupata,kumiliki,kutumia na kuuza au kuigawa ardhi kuwa sawa na haki ya mwanaume yeyote kwa viwango na masharti sawa
SHERIA ZA ARDHI ZA MWAKA 1999 NA SHERIA ZINGINE ZENYE MGUSO KATIKA ARDHI.
Maana ya ardhi
Ardhi ni ile inayojumuisha vitu vyote vilivyo juu na chini ya uso wa nchi vikiwemo majengo, uoto wa asili na maendelezo yote yaliyofanywa isipokuwa madini na bidhaa za mafuta na gesi.
Makundi ya ardhi
Ardhi imegawanyika katika makundi matatu ambayo ni:-
1. Ardhi ya kawaida/jumla: ni ardhi yote ya umma ambayo siyo ardhi ya hifadhi wala ardhi ya kijiji. Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria ya ardhi Na.4,1999 inajumuisha ardhi ya kijiji ambayo haikaliwi wala kutumiwa na wanavijiji. Kamishna wa ardhi ndiye msimamizi wa kundi hili la ardhi.
2. Ardhi Hifadhi: ni ardhi iliyotengwa kwa shughuli maalumu kama vile hifadhi za misitu, barabara, vyanzo vya maji nk. Kundi hili liko chini ya usimamizi wa mamlaka mbalimbali za aina ya ardhi husika.
3. Ardhi ya Kijiji: hii ni ardhi iliyo ndani ya kijiji kilichosajiliwa na kubainishwa mipaka. Kwa mujibu wa sheria ya serikali za mitaa (Mamlaka za Wilaya), ya mwaka 1982 na kuwa chini ya usimamizi wa Halmashari ya Kijiji. Pia ardhi ya kijiji ni ardhi iliyotengwa chini ya sheria ya uundwaji wa vijiji,1965.Vilevile, ardhi ya kijiji ni ardhi ambayo si hifadhi, na kwa muda wa miaka kumi na miwili kabla ya sheria ya ardhi ya vijiji,Na.5 kutungwa, wanakijiji wamekuwa wanaikalia na kuitumia kama ardhi ya kijiji na pasipo kuwepo na aina yoyote ya umiliki au matumizi kabla au wakati wa ya kipindi hicho
MFUMO YA UMILIKAJI WA ARDHI
Kuna aina kuu mbili za umilikaji wa ardhi nchini Tanzania
· Umilikaji ardhi kimila: Huu ni utaratibu wa umilikaji ardhi kwa kufuata taratibu za kimila na desturi za jamii husika. Aina hii ya umiliki hutumika katika ardhi ya kijiji kama ilivyobainishwa katika sheria ya ardhi ya vijiji Na.5,1999
· Umilikaji ardhi kwa Hati: huu ni utaratibu wa hati unaotumika na kutolewa katika kundi la ardhi ya kawaida/jumla. Katika utaratibu huu mtu anaweza kumiliki ardhi kwa hati ya miaka 33, 66 au 99 na anakuwa na hadhi ya upangaji.
Upatikanaji wa Ardhi
Ardhi inaweza kupatikana kwa njia zifuatazo:-
i. Kurithi
ii. Kusafisha pori/eneo lisilo na mmiliki
iii. Kununua
iv. Kupewa zawadi
v. Kugawiwa na serikali
Mamlaka za usimamizi wa ardhi
1. Halmashauri ya Kijiji- Hii haimaanishi kuwa Halmashauri ya Kijiji ni mmiliki wa ardhi ya kijiji bali ni msimamizi tu na haina mamlaka ya kugawa ardhi au kutoa ruhusa ya kutumia ardhi kimila bila idhini ya mkutano mkuu wa kijiji.
2. Mkutano Mkuu wa Kijiji- ndicho chombo chenye madaraka ya juu kijijini juu ya masuala yote ya yakiwepo masuala ya ardhi kama vile kuthibitisha na kukubali au kukataa maombi ya ardhi ya kijiji.
3. Kamishna wa Ardhi- ndiye mtendaji na msimamizi mkuu wa makundi yote ya ardhi na amepewa majukumu ya kiushauri kwenye ardhi ya vijiji.
Dhana za msingi katika mfumo w


KUNA AINA TATU ZA ARDHI NA UMILIKAJI WAKE.
WE ULIPELEKWA SHULE KUCHEZA AMA??
EBU SOMA VEMA KUNA AINA NGAPI ZA ARDHI NA UMILIKAJI WAKE.
KUNA ARDHI YA KIJIJI,ARDHI YA HIFADHI NA ARDHI YA UJUMLA.
SOMA ARDHI HIPI INAMILIKIWA KIMILA NA IPI INAMILIKIWA KWA HATI.

YANI WE JAMAA SHULE ULIKUA UNAKUAGA WANGAPI??
NAANZA KUSHUKU UELEWA WAKO.

UKITIZAMA UMILIKAJI WA ARDHI KIMILA UNAHUSU KUMILIKI ARDHI YA KIJIJI KM SISI TUNAZOMILIKI.
UMILIKAJI ARDHI KWA HATI HIZO MARA NYINGI NI ZILE ARDHI AMBAZO SERIKALI INAMILIKI NA IMEPIMA VIWANJA VYAKE NDIO INAKUAGA HIVYO.
SIJUI UNAELEWA AMA UNAKAZA KICHWA NDUGU!!!?
 
Kunyan, unless u r seeking for attention that bridge is old u can't compare with this brand new Bridge!

bghefihktw2mte8gp59eb5b9cd09b0.jpg


 
A witch will never lack excuses, enjoy the product of your low quality construction.
Kunyan, unless u r seeking for attention that bridge is old u can't compare with this brand new Bridge!

bghefihktw2mte8gp59eb5b9cd09b0.jpg


FB_IMG_15707143028743525.jpeg
FB_IMG_15707143111371450.jpeg
 
Basi itabidi msubiri katiba hii ya sasa ifariki ndio mpate kumiliki ardhi milele
Kaama mali za babako sio zako kwann wazirithi akifariki?
Na kwan babayo anatafuta mali kwaajili ya nani kama sio wewe??
Ninyi ebu punguzeni kunywa gongo mchana jua Kali zitawaua.
 
mkuu, umenifanya nimecheka sana...yani hyo jamaa ni mwehu sana, m nliachana naye kuona ya kwamba anawaza renting
Eti kukodisha kwa kiingereza ni renting? Are you redefining English? Then what is leasing kwa kiswahili?
 
Unaongea sana...uhakiki wa nn na wakati wewe ni raia wa tanzania...kwn mru akifa hana watu?
Hzo sheria zenu bana....
Basi ndio ujue ccm ndio wamiliki wa ardhi ya tanzania...

Kisha mbna unadanganya, kemu niletee ushahidi km mda wake ukiisha ukienda ku renew ni bure
we komora sikia.... una enda ku renew ardhi but no body will ever take it from you, unless serekali ina kitaka ambapo watakulipa fidia, nikiwa na maana wana kinunua kutoka kwa mwenye kiwanja. na pia ni mfumo wa kuhakiki kama bado mwenye kiwanja yupo kwasababu kuna mwengine anaweza akawa ame fariki na hakuweza kukabithi kwa ndugu yake yoyote au mtu yeyote wakaribu.... Sasa nime kuelezea hvyo neng’eneka tena uje na point zako za ajabu.. tuta kujumuisha na wenzako wakiongozwa na baba yao....NICXIE .. lakini Nicxie mme mtoa wapi lkn.. yani ni muoongo.. ivi ni mkenya kweli?. kwasababu mnaweza kumkata. Sio kwa uwongo alio kua nao
[/QUOTE]

Kwani we unakiwanja mpaka ufanyiwee hvyo vitu?[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom