Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.

Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.

Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe

In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe
[/QUOTE]

Wewe itabidi upunguze unywaji wa konyagi, inakupeleka pabaya. Aliyekuambia mkenya haha mamlaka ya kumiliki ardhi ni nani? Ama ilisoma hiyo taarifa wapi? I think this is a case of the pot calling the kettle black. Wewe hapo unakodishiwa ardhi na serikali yenu "tukufu" sisiemu kwa kipindi cha miaka 33, 66 au 99 (kulingana na uwezo wako) wakati mimi ninamiliki ardhi FOR LIFE tena niko hadi na tittle deed. Sasa Kati yangu na wewe nani hana mamlaka ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yake?[/QUOTE]Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
 
PhotoGrid_1570686571142.jpg

Now, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
 
Yani ukwel mchungu aisee...eti thibitisha wewe umenithibitihshia nn zaidi ya kukata mauno hapa..

Narudia tena, ardhi tanzania ni ya ccm..raia wa kawadmida unakodishiwa kw mda flani tu, ukishamaliza mda wake it's either uende uka renew ama serikali waichukue km wana shughuli nayo...utamdanganya nani hapa wewe...kamwe mtanzania hawez miliki ardhi...

Vp kwanza, umeashailipia kodi ardhi na kisima chako
Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki
[/QUOTE]Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.

Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.

Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe

In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe[/QUOTE]
 
Yani imekuuma mpka una edit comment yangu
Majamaa wa ku lease ardhi kw serikali
Umeshau km ardhi hko ni ya ccm...
Maskini, yani unakodishiwa ardhi na serikali km vile wewe huna haki ya kuimiliki hyo ardhi km raia mwema...
Unaishi km squater kwenu..si fair haki

how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?
Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki[/QUOTE][/QUOTE]
 
Wewe itabidi upunguze unywaji wa konyagi, inakupeleka pabaya. Aliyekuambia mkenya haha mamlaka ya kumiliki ardhi ni nani? Ama ilisoma hiyo taarifa wapi? I think this is a case of the pot calling the kettle black. Wewe hapo unakodishiwa ardhi na serikali yenu "tukufu" sisiemu kwa kipindi cha miaka 33, 66 au 99 (kulingana na uwezo wako) wakati mimi ninamiliki ardhi FOR LIFE tena niko hadi na tittle deed. Sasa Kati yangu na wewe nani hana mamlaka ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yake?
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
[/QUOTE]

View attachment 1228228

Now, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
[/QUOTE]
The same laws apply to Kenya!
 
Nithibitishie wewe kwanza km mkenya hana uhuru wa kumiliki ardhi...
Yani nangoja uingie kwenye kumi na nane nikuchome sindano kali sana...mda si mresfu utakimbia
 
Which laws? Can you prove this claim? Land is leased only to foreigners in Kenya, not to natives like me, unless it is for special use. As a native Kenyan, I have a right to freehold land ownership FOR LIFE.

PhotoGrid_1570688166692.jpg

You can visit the National Land Commission website for more information. It is the body responsible for all land related issues in Kenya
 
Nithibitishie wewe kwanza km mkenya hana uhuru wa kumiliki ardhi...
Yani nangoja uingie kwenye kumi na nane nikuchome sindano kali sana...mda si mresfu utakimbia
I have asked them the same question a million times but they can't prove anything. Kila kitu wanatoa tu kichwani pasi na kuwa na uelewa. CCM really poisoned these guys' minds against Kenya and it's too bad they still cling to these stories todate
 
Kulipia ardhi kodi ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako ndo maana unakuta many things vinalipiwa kodi.issue ya ardhi kulipia kodi sio kwamba ardhi sio yako na hiyo sheria imeanza tu kipindi hiki cha miaka ya 1990s
Yani ukwel mchungu aisee...eti thibitisha wewe umenithibitihshia nn zaidi ya kukata mauno hapa..

Narudia tena, ardhi tanzania ni ya ccm..raia wa kawadmida unakodishiwa kw mda flani tu, ukishamaliza mda wake it's either uende uka renew ama serikali waichukue km wana shughuli nayo...utamdanganya nani hapa wewe...kamwe mtanzania hawez miliki ardhi...

Vp kwanza, umeashailipia kodi ardhi na kisima chako
Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.

Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.

Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe

In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe[/QUOTE][/QUOTE]
 
Umekimbia...
Mr. Moderator
Hawatakagi kusikia ukweli hawa watu. Ukiwabana sana wanasepa kisha wanarudi "wakijihami" na matusi. Nakupa tu mda kidogo, atarudi hapa na matusi coz he can't and won't prove his points. They just can't handle the truth
 
Kulipia ardhi kodi ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako ndo maana unakuta many things vinalipiwa kodi.issue ya ardhi kulipia kodi sio kwamba ardhi sio yako na hiyo sheria imeanza tu kipindi hiki cha miaka ya 1990s Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.

Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.

Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe

In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe
[/QUOTE]
[/QUOTE]

Na aliyekuambia sisi hatulipii ardhi kodi ni nani? Land rates apply in Kenya and it's actually a criminal offence not to pay land rates and the fines are very heavy ukipatikana

Naona umebadilisha gear ila bado tunangoja thibitisho kwamba wakenya hawana mamlaka ya kumiliki ardhi. Usifikiri tumesahau
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom