kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,750
Kuna Citizen TV na KTN mzee wako vizuri kwa studiosHaya hakuna kama Azam Tv Africa mashariki na kati, hahaaaView attachment 1228106
Kuna Citizen TV na KTN mzee wako vizuri kwa studiosHaya hakuna kama Azam Tv Africa mashariki na kati, hahaaaView attachment 1228106
Jamaa ywaumia kuskia kibera kuna umeme...
Yani hao wakenya wanataka wajione malaika sana nimewaletea mafuriko yao ya mwaka 2019 wanaanza kukataa kuwa sio nairobi sa nashndwa kuwaelewa wanataka nnthis is USA; got her independence in 243 yrs ago.. any other comments?
View attachment 1228090
Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.
Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.
Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe
In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe
[/QUOTE]Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki
Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki[/QUOTE][/QUOTE]Umeshau km ardhi hko ni ya ccm...
Maskini, yani unakodishiwa ardhi na serikali km vile wewe huna haki ya kuimiliki hyo ardhi km raia mwema...
Unaishi km squater kwenu..si fair haki
how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewaWewe itabidi upunguze unywaji wa konyagi, inakupeleka pabaya. Aliyekuambia mkenya haha mamlaka ya kumiliki ardhi ni nani? Ama ilisoma hiyo taarifa wapi? I think this is a case of the pot calling the kettle black. Wewe hapo unakodishiwa ardhi na serikali yenu "tukufu" sisiemu kwa kipindi cha miaka 33, 66 au 99 (kulingana na uwezo wako) wakati mimi ninamiliki ardhi FOR LIFE tena niko hadi na tittle deed. Sasa Kati yangu na wewe nani hana mamlaka ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yake?
View attachment 1228228Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
I have asked them the same question a million times but they can't prove anything. Kila kitu wanatoa tu kichwani pasi na kuwa na uelewa. CCM really poisoned these guys' minds against Kenya and it's too bad they still cling to these stories todateNithibitishie wewe kwanza km mkenya hana uhuru wa kumiliki ardhi...
Yani nangoja uingie kwenye kumi na nane nikuchome sindano kali sana...mda si mresfu utakimbia
Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.Yani ukwel mchungu aisee...eti thibitisha wewe umenithibitihshia nn zaidi ya kukata mauno hapa..
Narudia tena, ardhi tanzania ni ya ccm..raia wa kawadmida unakodishiwa kw mda flani tu, ukishamaliza mda wake it's either uende uka renew ama serikali waichukue km wana shughuli nayo...utamdanganya nani hapa wewe...kamwe mtanzania hawez miliki ardhi...
Vp kwanza, umeashailipia kodi ardhi na kisima chako
Hawatakagi kusikia ukweli hawa watu. Ukiwabana sana wanasepa kisha wanarudi "wakijihami" na matusi. Nakupa tu mda kidogo, atarudi hapa na matusi coz he can't and won't prove his points. They just can't handle the truthUmekimbia...
Mr. Moderator
[/QUOTE]Kulipia ardhi kodi ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako ndo maana unakuta many things vinalipiwa kodi.issue ya ardhi kulipia kodi sio kwamba ardhi sio yako na hiyo sheria imeanza tu kipindi hiki cha miaka ya 1990s Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.
Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.
Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe
In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe
I didn't attend the class to learn english language,but contents,and that's what you lack,a lot of english made you the dumbest as https://jamii.app/JFUserGuidefrom your english you are the one who needs to go back to school