Lol......are you mad..!!No way....
We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekee