Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0778.JPG
 
Mshikamano daima, hii kitu ni adimu sana huko kaskazin

Tallest building in East Africa lipo Dar na tallest tower in East Africa upo Nairobi
Nionyeshe 40+ floor in Dar nihepe JF 😂😂😂. Tena la Kenya hata halijakamilika bado ila lishafika 42 floors...pole kwa kuharibu siku yako. Lipo pale Westlands.
 
Mshikamano daima, hii kitu ni adimu sana huko kaskazin

Tallest building in East Africa lipo Dar na tallest tower in East Africa upo Nairobi
Mbona unajichanganya? Hiyo jumbo refu EA inayopatikana Dar inaitwaje na ina urefu wa mita ngapi?
 
Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.
1562823028337.png
1150972
 
Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.View attachment 1150971View attachment 1150972
Tayari tulishasema hapo awali humu kuwa treni zetu zitatoka Siemens....
 
Hapo si kama Tz Sgr eeeee, wakenya hayo ma cement pembeni utadhani mnajenga ma pyramids bora mnge make hela mpige kitu cha electric, oneni wenzenu WA South kitambooo na Tz, muulizage cku nyingine
Screenshot_2019-07-11-09-26-29.jpeg
Screenshot_2019-07-10-21-37-04.jpeg
 
Back
Top Bottom