NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,331
- 47,073
Simu nzuri, maana masimbazi ni mbali kutoka hapo.
sio sana , 8 Plus.
Simu nzuri, maana masimbazi ni mbali kutoka hapo.
Mshikamano daima, hii kitu ni adimu sana huko kaskazin
Images credit: BAM International.
Tallest building in East Africa lipo Dar na tallest tower in East Africa upo NairobiTallest building in EAC ipo Kenya, mnitag tafadhali Kama Kuna nyingine imeipita. 🙄
Nionyeshe 40+ floor in Dar nihepe JF 😂😂😂. Tena la Kenya hata halijakamilika bado ila lishafika 42 floors...pole kwa kuharibu siku yako. Lipo pale Westlands.Mshikamano daima, hii kitu ni adimu sana huko kaskazin
Tallest building in East Africa lipo Dar na tallest tower in East Africa upo Nairobi
Mbona unajichanganya? Hiyo jumbo refu EA inayopatikana Dar inaitwaje na ina urefu wa mita ngapi?Mshikamano daima, hii kitu ni adimu sana huko kaskazin
Tallest building in East Africa lipo Dar na tallest tower in East Africa upo Nairobi
Pinnacle tower Ila bado tunachimba msingiMbona unajichanganya? Hiyo jumbo refu EA inayopatikana Dar inaitwaje na ina urefu wa mita ngapi?
Acha kujinyea mbele ya uma. Dar held that crown for two years before Nairobi bounced back and it (Dar) is not catching up any time soon. Lanes pleasePinnacle tower Ila bado tunachimba msingi
Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.Tofauti nini?
Na ipi hapo ni ya kisasaa? View attachment 1150898View attachment 1150899View attachment 1150900
Kama mbele yaani daaaaah Dar nomaa hapo bado bullet train dadekii
Tayari tulishasema hapo awali humu kuwa treni zetu zitatoka Siemens....Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.View attachment 1150971View attachment 1150972
Hapo si kama Tz Sgr eeeee, wakenya hayo ma cement pembeni utadhani mnajenga ma pyramids bora mnge make hela mpige kitu cha electric, oneni wenzenu WA South kitambooo na Tz, muulizage cku nyingineView attachment 1151597View attachment 1151599