ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,741
- 2,248
mjanja ni nani hapo Kati ya mwenye chakula na mwenye PesaHela za wakenya ndio zinawaeka hao jamaa mjini....endeleeni kulima tu sisi tutanunua angalau mpate hela za kujikimu hko ldc
mjanja ni nani hapo Kati ya mwenye chakula na mwenye PesaHela za wakenya ndio zinawaeka hao jamaa mjini....endeleeni kulima tu sisi tutanunua angalau mpate hela za kujikimu hko ldc
Mjanja ni yule mwnye ananua huo mzigo kw bei ya wholesale then ywauza hku kenya ..mjanja ni nani hapo Kati ya mwenye chakula na mwenye Pesa
👇👇👇👇👇👇👇
Kwan ww hujui kutafuta??? Yani mm ndio nikutaftie???
Mm siogopi chochote nashangaa kuingia google uka search unaona tabu😆😆😆Cjasema utafute kitu
Nimesema leta Tanzania sewage connection % tucompare na Kenya sewage connection %
Mbna unaogopa
That city will create employment for most Kenyans and improve economy of the area
I see nothing wrong with connecting it with a bypass
Ahahahha huku moyoni mwako roho inakuuma ukiskia pesa za tax payers zinapeleka barabara kwenye familia ya kenyatta😆😆😆 wakat ww uko korogocho na choo huna
Mm siogopi chochote nashangaa kuingia google uka search unaona tabu😆😆😆
Mm nimecheka sana kuona nchi inayojisifu kumbe ushuzi mtupu😆😆😆Niingie Google ni search nn
Ww mwenywe ulileta hyo tweet ukicheka ni kama Tanzania ina better sewage connection Kenya
Na umwa na nn Kenyatta ameamua kujenga city kwa shamba yake
City itakuwa connected na by pass
Celewi mbna watu wanababaika
People will be employed and business will boom .
Niingie Google ni search nn
Ww mwenywe ulileta hyo tweet ukicheka ni kama Tanzania ina better sewage connection Kenya
Ahahhaa wasikize wenzio👇👇👇
Ulinambia muna maendeleo au ndio haya😆😆😆😆😆👇👇👇👇
hivi hii si ni article ya Forbes magazine, naona juhudi zinaonekana. Pongezi kwa mzee baba.When?
Kwanza tukianza na medical tayri mushaumia😆😆😆😆Everybody Knows Kenya is a corrupt society
Show me any development index that Tanzania beats Kenya
Everybody has they own opinion
I see nothing wrong with that