Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar ni zile jumba tatu afu ile Barbara moja ya BRT after hiyo unajipata shambani. Anyway nimeutafuta huu Uzi ni Kama unapotea baada ya ule wa Kenyan roads vs Tz dirt roads.

Afu ichoboy01 vipi swimming pools hapo BRT na JNIA???
Na Nairobi je? Nairobi yote inamilikiwa na wahuni na koloni master wachache chenye mkenya anamiliki ni SLUM PEKEE
 
Ndiyo maana sipendi kuchangia mada nikichangia wakenya wanaumia sasa kama ni uongo kuwa wakenya wa kawaida wanamiliki vichochoro Vya kibera niambia wewe unamiliki heka ngapi na nyumba ngapi Nairobi mm dar namiliki heka 6 na nyumba 1
bwahahaaa..kwhyo unataka kila mkenya amiliki ardhi nairobi...yani sijui nynyi wabongo akili zenu zipo vp aisee...yani unataka kila mkenya amiliki ardhi nairobi...

sasa hzo heka zako 6 za dar na hyo nyumba yako...hta ukiuza huez pata hela ya kumiliki hta heka moja nairobi...si dar ni mji na vijiji ndani...

labda ukiuza ukabahatishe garisa labda
 
Ndiyo maana sipendi kuchangia mada nikichangia wakenya wanaumia sasa kama ni uongo kuwa wakenya wa kawaida wanamiliki vichochoro Vya kibera niambia wewe unamiliki heka ngapi na nyumba ngapi Nairobi mm dar namiliki heka 6 na nyumba 1
Ukweli mchungu ni kuwa ukiuza hiyo heka sita ya shamba unayokisia kumiliki katika dar kijijini huwezi nunua hata robo kipande cha shamba jijini Nairobi.
nimegundua kwa mafikirio yako ya ujamaa unadhani Nairobi kuna vijijini kama dar is lam ila usilolijua ni kwamba Nairobi ni city county sawa na Mombasa, na dar ni jiji ndani ya mkoa sawa na kisumu kuwa jiji ndani ya county. sasa bila mapendeleo si ajabu nikisema kwamba kumiliki shamba dar ni sawa na kumiliki shamba kisumu 😂.
Siyo haki hata kidogo kulinganisha great city of Nairobi na vijijini vya mkoa wa dar is lam.
Tena ogopa ukisikia Mali inayomilikiwa na Nairobi ni sawa na mali inayomilikiwa na dar + Kampala + Addis ababa.
Nilisikia mtu akisema dar is the largest city in East Africa instead of dar is the largest city in dar es Slam province.
 
Ukweli mchungu ni kuwa ukiuza hiyo heka sita ya shamba unayokisia kumiliki katika dar kijijini huwezi nunua hata robo kipande cha shamba jijini Nairobi.
nimegundua kwa mafikirio yako ya ujamaa unadhani Nairobi kuna vijijini kama dar is lam ila usilolijua ni kwamba Nairobi ni city county sawa na Mombasa, na dar ni jiji ndani ya mkoa sawa na kisumu kuwa jiji ndani ya county. sasa bila mapendeleo si ajabu nikisema kwamba kumiliki shamba dar ni sawa na kumiliki shamba kisumu .
Siyo haki hata kidogo kulinganisha great city of Nairobi na vijijini vya mkoa wa dar is lam.
Tena ogopa ukisikia Mali inayomilikiwa na Nairobi ni sawa na mali inayomilikiwa na dar + Kampala + Addis ababa.
Nilisikia mtu akisema dar is the largest city in East Africa instead of dar is the largest city in dar es Slam province.
Wai Uhuru park ukavute hewa safi hewa ya kibera ni mavii
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom