Ukweli hautapingika 😂😂😂😆 huwez kua middle income alaf watu wanaishi kwenye uchafu👇👇👇👇👇
Angelia ulivyo mjinga. Everyone knows Nairobi is a mainland city, mambo us Baha'i inatoka wapi? Umenikumbusha hapo awali mjinga wenu kwenye hii thread alivyokuwa akitamba eti dar iko na bahari then anataka tumuonyesha Bahari ya Nairobi ilipo. Mazuzu ni wengi sana haha wewe ukiwa moja wao
Yeah nlicheki jinsi alivyokua anakitupia kdesign fulani hivi akijaribu kupata picha ya kueleweka, ila kwa kuwa akili yake ndogo mpaka afafanuliwe zaidi ndo aelewe that's why mambo yanayotokea now itachukua muda ndo waelewe kumbe walilamba jokeriIla wewe unahitaji maombezi. Hajasema nairobi kuna bahari, amesema hicho kidimbwi mnasimulate bahari.
Nini bits hapo? Is it a green building ama hiyo glass ndo unakupambaza?Zingatia ubora sio unapost uchafu. View attachment 1072362
It's the height, the design, the building materials and modernity of the building that says it all.Nini bits hapo? Is it a green building ama hiyo glass ndo unakupambaza?
Point yangu umeipata, acha kurukaruka kama popcornso unajaribu kusema kwamba Tanzania imenawiri kimchezo kiluliko Kenya ama point yako ni nini Nikka? Hebu nambie mchezo moja ambayo Tanzania inajulikana nayo intentionally apart from umbea na story za vijiweni? Nitajie tu moja then nikuheshimu
Hapo kwenye size of geographical area ndio utamuua kabisa sababu kuna vojicounty vyao vina size ya mtaa wa mchambawima alafu wanaviita County yaani unaweza ukavizunguka mara 5 kwa dakika 10
Mbona umepatwa na hasira ghafla!!!!Nini bits hapo? Is it a green building ama hiyo glass ndo unakupambaza?
Over 50million wanazaana kama kukuKumbe wako 50mln?
View attachment 1072567View attachment 1072568View attachment 1072569View attachment 1072570View attachment 1072571View attachment 1072573View attachment 1072574View attachment 1072575View attachment 1072576View attachment 1072577View attachment 1072578View attachment 1072579View attachment 1072580View attachment 1072581View attachment 1072582