Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Sisi hatunaga wamasai? Wamasai na rungu utalinganisha na wapokoti ambao wana AK-47? Kweli kumwelimisha zuzu ni kibarua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Waambie wavuke boda ya tz,nako kuna ng'ombe za kutosha.waje tuwafundishe mahari haitolewi kwa kukabidhi ng'ombe za wizi,ila mkia wa simba wenye kuvuja damu.

kumbe sababu wana AK-47 ndio sababu wanalaza KDF na viatu.
 
We ndio mjinga maana hujielewi, kwani pokoti wameanza leo kuiba ng'ombe kule Uganda? M7 alituma kule karamoja Askari wangapi? Mbona hawakuwazuia? Ama hizo modern technology Uganda itaanza kuitumia kesho? M23 wameshinda M7 ataweza wapokoti? Ilimchukua miaka mingapi kupambana na kony kule northern Uganda , where was that Morden technology? Uganda uliingia Somalia 2007 in the name of restoring peace Mogadishu hadi leo Mogadishu imewashinda, were not it for Kenya Somalia leo haingekua na functional government , Uganda and her proxy's walikua wameshinda, remember pokoti are not based in Uganda neither are they terrorist so M7 has to trade carefully so that his orders does bring bad blood btn these two countries, remember Kenya will not sit and watch her people being killed.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na huyu ni mkenya mwenzako alietoa hii habari:

So, usiongee lolote kutaka kujivunia sifa za kuisaidia somalia kiulinzi. Mabwana zenu wamewadrag mkakaangwe
 
That was 2017 this is 2019 my friend, mbona hutumii hata akili ? Ama nenda pale katika chumba cha maarifa upewe kiasi.Sasa hivi chakula kipo Kwa wingi hata mahindi serkali imejaza maghala hadi imekosa mahali pa kupeleka.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bila shaka utakuwa ni mpokot.
maana unatoa povu lisilo la kawaida kutetea watu wa jamii yako.

IMG_20190215_173942.jpeg
IMG_20190215_173916.jpeg
IMG_20190215_173913.jpeg
 
View attachment 1023212

Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.

Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!
We need more people like you. Ni suala la maana sana coz uwanja wa kisasa utaifanya TZ kuwa sports hub EA kama Afrika kusini ilivyo na viwanja vya kisasa vingi kule Joburg, Cape town na Port Elizabeth na Durban
 
View attachment 1023212

Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.

Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!
Na imagine heavenly view ya Mt Meru kama uwanja huu wa Monterrey, Mexico
Buy-Estadio BBVA Bancomer-Football-Tickets-FootballTicketNet.png
 
Back
Top Bottom