Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We unajua west pokoti? Hilo ni eneo ambalo lina chakula kingi mno na lina pata mvua Kwa kiasi kikubwa sana na kama wewe ni mtu wa kudeal na vitu kama hivyo utajua pokoti ipo vipiView attachment 1023353

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana tunakuita mjinga.

Screenshot_2019-02-15-16-49-48-513_com.twitter.android.jpeg
 
Kingereza kigumu eeh? Mtafute translator akusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kenya pekee kiingereza unatafutia mume.huku tz huwezi pata mume.

Huku kwetu ukisema DCI kwa kiingereza chako cha ugoko,huyo ni mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai.

Haya sema alihusikaje na upatikanaji wa Mo DCI wa kenya??
 
akikupa maelezo yenye credible evidence nitag mkuu.

ila sanasana tegemea povu, ujinga na ukilaza uliotukuka kutoka kwake.

what i like about this fool is that he makes our thread very active on the trending list. let's continue to use him.
 
Ni kenya pekee kiingereza unatafutia mume.huku tz huwezi pata mume.

Huku kwetu ukisema DCI kwa kiingereza chako cha ugoko,huyo ni mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai.

Haya sema alihusikaje na upatikanaji wa Mo DCI wa kenya??
Ebo! Dume surwali wakitanzania mtu mwenye akili zake anatafuta afanyie nini? DCI wetu kupitia idara yake ya CID ndio alishughulika ndio MO akapatikana ,kwani mlikua na uwezo wakumpata,ama mngepiga ramli mtumie elimu yenu ya kichawi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndio mjinga maana hujielewi, kwani pokoti wameanza leo kuiba ng'ombe kule Uganda? M7 alituma kule karamoja Askari wangapi? Mbona hawakuwazuia? Ama hizo modern technology Uganda itaanza kuitumia kesho? M23 wameshinda M7 ataweza wapokoti? Ilimchukua miaka mingapi kupambana na kony kule northern Uganda , where was that Morden technology? Uganda uliingia Somalia 2007 in the name of restoring peace Mogadishu hadi leo Mogadishu imewashinda, were not it for Kenya Somalia leo haingekua na functional government , Uganda and her proxy's walikua wameshinda, remember pokoti are not based in Uganda neither are they terrorist so M7 has to trade carefully so that his orders does bring bad blood btn these two countries, remember Kenya will not sit and watch her people being killed.

Sent using Jamii Forums mobile app

Muone alivyo wakenya hamnaga hata aibu kujisifia tena acha kujichukulia credit kwa somalia, hiyo ni kazi ya mabwana zenu:

Somalia ni mojawapo ya nchi tano ambazo zipo chini ya ulinzi wa jeshi la marekani. Au ndio na nyie mshakua wamarekani? Nyie ni vibarua wa marekani pale wanapotaka vimgambo ambavyo maisha yao hayana thamani wanavitumia kama chambo au war shields
 
Back
Top Bottom