wafanye nini na job hakuna?Kazi iliobakia ni ukora kwa vijana
Kama vifaranga vilichomwa moto jiulize wapuuzi ambao wata vuka border na silaha kuibia wa Tz on a regular basis watafanywa nini? Tafakari chukua hatua...Athubutu nini? Mna bahati hampo kwenye mpaka nawao ,wamasai wakwenu wangekua hawana ng'ombe hata moja.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
View attachment 1023306
View attachment 1023307
View attachment 1023308
View attachment 1023309
View attachment 1023310
View attachment 1023312
Sent from my iPhone using JamiiForums
We ndio mjinga maana hujielewi, kwani pokoti wameanza leo kuiba ng'ombe kule Uganda? M7 alituma kule karamoja Askari wangapi? Mbona hawakuwazuia? Ama hizo modern technology Uganda itaanza kuitumia kesho? M23 wameshinda M7 ataweza wapokoti? Ilimchukua miaka mingapi kupambana na kony kule northern Uganda , where was that Morden technology? Uganda uliingia Somalia 2007 in the name of restoring peace Mogadishu hadi leo Mogadishu imewashinda, were not it for Kenya Somalia leo haingekua na functional government , Uganda and her proxy's walikua wameshinda, remember pokoti are not based in Uganda neither are they terrorist so M7 has to trade carefully so that his orders does bring bad blood btn these two countries, remember Kenya will not sit and watch her people being killed.wewe jamaa ni mjinga sana. unazungumza kwa ushabiki kuliko hali halisi.
your stupid pokot people are using some stupid guerrilla tactics while ugandan army is using modern military tactics.
it doesn't need a rocket science knowledge to know who is going to be defeated if they go to war against one another.
acha ujinga.
Urongo huo,nyie ni weak point ,hawa tu m23 wanawafanya hamlali afu nyie pia mnaongea mbele ya wanaume? Na mngepewa boko haram,ama alshabaab au ISS ambao Kenya inawashughulikia kila siku ,mngejipamba vipi?.Majeshi yaliyopo kule hawapo ajiri ya kupigana kumbuka kilichowatokea m23 baada ya amri ya kuwapiga ilipotolewa
Najua unakubali kabisa moyoni kwako kuwa ile ambush iliyoondoka na askari wa jw 14 wangekuwa kdf wangepoteza brigade nzima
All in all tunawakaribisha saana congo
Sent using my iPhone using jamiiforum app
We unajua west pokoti? Hilo ni eneo ambalo lina chakula kingi mno na lina pata mvua Kwa kiasi kikubwa sana na kama wewe ni mtu wa kudeal na vitu kama hivyo utajua pokoti ipo vipiSasa mbona wanazungukwa na njaa na umasikini daily, au sababu wapo failed state??
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri hio kuliko ya Kula albino na kuua watoto kule njombeNdio elimu yenu inavofundisha sio
Vifaranga vilikua vimenunuliwa na mtanzania akaziacha pesa Kenya Kwa hivyo aliepoteza mtaji wake ni mtanzania my friend.Kama vifaranga vilichomwa moto jiulize wapuuzi ambao wata vuka border na silaha kuibia wa Tz on a regular basis watafanywa nini? Tafakari chukua hatua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawapepeta nyie nyote muishe.Jaribuni alaf mutajionea raha ya dunia
Mo alivotekwa nyara si mlijamba wote ,kama si FBI na Kenya DCI hangepatikana.Juzi Dusit jeshi zima la Kunyaland limepatwa tumbo la kuhara!
Kama tumeweza ya DRC watu million 80 sembuse ya watu million 20?.Ndio unavoota hvo siasa zenu zinawatoa kamasi za uganda mutaweza
Maana huna uwezo wa kudadisi mambo, sasa haya hata nikikweleza hutaelewa.Influence ya tanzania imetapakaa nusu ya africa leo hii unaota habari ya influence mlivopata uhuru mukajikita kwenye kujenga nchi mlivo wabinafsi lakini cha kuskitisha hamuna maendeleo yoyote zaidi ya ushuzi wa mbuzi
Bila Shaka ramli hupigwa na wachawi kama nyie , karibuni tuone.Hata elimu ya kupiga ramli haina haja kutumika hapo
asante kwa porojo. kilaza.We ndio mjinga maana hujielewi, kwani pokoti wameanza leo kuiba ng'ombe kule Uganda? M7 alituma kule karamoja Askari wangapi? Mbona hawakuwazuia? Ama hizo modern technology Uganda itaanza kuitumia kesho? M23 wameshinda M7 ataweza wapokoti? Ilimchukua miaka mingapi kupambana na kony kule northern Uganda , where was that Morden technology? Uganda uliingia Somalia 2007 in the name of restoring peace Mogadishu hadi leo Mogadishu imewashinda, were not it for Kenya Somalia leo haingekua na functional government , Uganda and her proxy's walikua wameshinda, remember pokoti are not based in Uganda neither are they terrorist so M7 has to trade carefully so that his orders does bring bad blood btn these two countries, remember Kenya will not sit and watch her people being killed.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo kupatikana kwa MO kulitokana na juhudi ya DCI ya kenya?. smhMo alivotekwa nyara si mlijamba wote ,kama si FBI na Kenya DCI hangepatikana.
Sent using Jamii Forums mobile app