Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By the way hivyo vibandits ni ushahidi mojawapo kuwa kenya chakula ni shida thats y wanaenda kuiba uganda
Uliambiwa wanaibinga chakula? Wewe huna Mali ya kujicompare na mpokoti, mvulana wa kipokoti ndio apate mke lazima atoe mahari ng'ombe Mia tano na sio achukue za babake lazima atafute zake na ndio chanzo cha kuiba ng'ombe kutoka Uganda hawaibi eti hawana chakula ila ishara ya kuonesha kukomaa na upo tayari kupata mke.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka hawana makazi wala sare pia wanatumia ambush

Kuwa mkweli hivi unajua kuwa majeshi ya Tanzania yanaaminiwa saana na raia wakongo?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Adf ,m23 hawana ujuzi wowote na sio watu wakupigana holy war lakini wanawatoa kijasho chembamba, Uganda wapo kule, Tanzania wapo kule, south Africa wapo kule, Burundi wapo kule vilevile Rwanda na bado mmeshindwa na kazi,Acha Kenya tuje tumalize hao watu .nazani mlienda kuiba dhahabu Tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaa ni mjinga sana. unazungumza kwa ushabiki kuliko hali halisi.

your stupid pokot people are using some stupid guerrilla tactics while ugandan army is using modern military tactics.

it doesn't need a rocket science knowledge to know who is going to be defeated if they go to war against one another.

acha ujinga.
 
Majeshi yaliyopo kule hawapo ajiri ya kupigana kumbuka kilichowatokea m23 baada ya amri ya kuwapiga ilipotolewa

Najua unakubali kabisa moyoni kwako kuwa ile ambush iliyoondoka na askari wa jw 14 wangekuwa kdf wangepoteza brigade nzima

All in all tunawakaribisha saana congo
Adf ,m23 hawana ujuzi wowote na sio watu wakupigana holy war lakini wanawatoa kijasho chembamba, Uganda wapo kule, Tanzania wapo kule, south Africa wapo kule, Burundi wapo kule vilevile Rwanda na bado mmeshindwa na kazi,Acha Kenya tuje tumalize hao watu .nazani mlienda kuiba dhahabu Tu .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Uliambiwa wanaibinga chakula? Wewe huna Mali ya kujicompare na mpokoti, mvulana wa kipokoti ndio apate mke lazima atoe mahari ng'ombe Mia tano na sio achukue za babake lazima atafute zake na ndio chanzo cha kuiba ng'ombe kutoka Uganda hawaibi eti hawana chakula ila ishara ya kuonesha kukomaa na upo tayari kupata mke.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona wanazungukwa na njaa na umasikini daily, au sababu wapo failed state??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliambiwa wanaibinga chakula? Wewe huna Mali ya kujicompare na mpokoti, mvulana wa kipokoti ndio apate mke lazima atoe mahari ng'ombe Mia tano na sio achukue za babake lazima atafute zake na ndio chanzo cha kuiba ng'ombe kutoka Uganda hawaibi eti hawana chakula ila ishara ya kuonesha kukomaa na upo tayari kupata mke.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Ndio elimu yenu inavofundisha sio
 
Athubutu nini? Mna bahati hampo kwenye mpaka nawao ,wamasai wakwenu wangekua hawana ng'ombe hata moja.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nakuhakikishia sasa hivi Kenya mngekuwa nchi za mabeberu kutusemea jinsi kichapo wangekipata, tatizo lenu Kenya ukimya wa watz mnauchukulia for granted ,trust me hamna watu mamafia na watu wa propaganda kama watz yaani hii ipo natural damuni ,na huu mwendo tunaoenda wa Kenya vs Tz Kenya mmekalia kuti kavu,mana tume declare vita ya uchumi,na tutakula sahani moja na nyie, vichache mshasikia na mmeanza kulialia kama maziwa,confectioneries, balance of payments, mazao , wizi wa madini, ushawishi EAC, Inclusive economy,pipe line,COW SGR, FDI,wahamiaji halamu etc, mana naona kelele nyingi Ila kiukweli ni weupe sana afadhali hata na waganda na wanyarwanda kuliko nyie!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_1550225904.820656.jpg

Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.

Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!
 
Adf ,m23 hawana ujuzi wowote na sio watu wakupigana holy war lakini wanawatoa kijasho chembamba, Uganda wapo kule, Tanzania wapo kule, south Africa wapo kule, Burundi wapo kule vilevile Rwanda na bado mmeshindwa na kazi,Acha Kenya tuje tumalize hao watu .nazani mlienda kuiba dhahabu Tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umama we we nyang'au , ntajie one military operation ambayo Kenya imefanya ikafaulu, hii ligi iachieni your mighty brother TZ, heshima yetu ipo kwa majirani wote wanaotuzunguka be it, Burundi,Rwanda,Mocambique, Malawi,Zambia, Congo, Comoroes, and Uganda, mmebakia nyinyi tunawacheki tu mnavyotolewa kamasi na wavaa yeboyebo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya Kenya na Tanzania ipo kwenye uchumi na ushawishi
Tz ilianza na ushawishi Kenya ikaanza na uchumi

Bt now tz kugundua ushawishi bira uchumi ni kazi bure pia Kenya wamejua uchumi bila ushawishi ni bure

Kiasi fran Kenya wamefaidika na utu na uzembe wa wt bt now jiwe yupo jino kwa jino aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Acha umama we we nyang'au , ntajie one military operation ambayo Kenya imefanya ikafaulu, hii ligi iachieni your mighty brother TZ, heshima yetu ipo kwa majirani wote wanaotuzunguka be it, Burundi,Rwanda,Mocambique, Malawi,Zambia, Congo, Comoroes, and Uganda, mmebakia nyinyi tunawacheki tu mnavyotolewa kamasi na wavaa yeboyebo.

Sent using Jamii Forums mobile app

:D:D:D
 
Juzi Dusit jeshi zima la Kunyaland limepatwa tumbo la kuhara!
 
Mbabaishaji aliyewashauri wajenge SGR ya diesel,angefikiriaga kwa utulivu wakaanza na BRT wangekuwa walifanya kitu cha maana sana.

Sasa angalia hapo WB ndio anategemewa kuwa msimamizi mkuu wa hii show,lakini hata gharama za mradi wote inashindikana kufanya tathmini,yaani hapo wanajipanda kuongeza sifuri wapige cha juu kama kawa.wala hakuna kingine.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
ichoboy01: Hilo la turkana wanaibiana pande zote mbili, lakini hilo la siasa za Uganda lazima influence yetu muifeel kotekote.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Influence ya tanzania imetapakaa nusu ya africa leo hii unaota habari ya influence ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† mlivopata uhuru mukajikita kwenye kujenga nchi mlivo wabinafsi lakini cha kuskitisha hamuna maendeleo yoyote zaidi ya ushuzi wa mbuzi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
wewe jamaa ni mjinga sana. unazungumza kwa ushabiki kuliko hali halisi.

your stupid pokot people are using some stupid guerrilla tactics while ugandan army is using modern military tactics.

it doesn't need a rocket science knowledge to know who is going to be defeated if they go to war against one another.

acha ujinga.

Hata elimu ya kupiga ramli haina haja kutumika hapo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom