Hii maneno Wakenya hawaongelei kabisa wamenywea kama wamemwagiwa maji ingekuwa hii order imetolewa Tanzania, all hell would break loose! Kenya is a nation full of hypocrisy!
Baada ya utalii kupigwa mabao na tanzania sasa wanaanza kuleta porojo za black panther kuona dunia itasema vpi kwa bahat mbaya walijisahau๐๐๐๐๐๐๐manyang'au yanapoamua kuumbuana wao kwa wao.
wahenga walisema unapozungumza jambo la uongo, hakikisha unakuwa na kumbukumbu sahihi.
View attachment 1021498View attachment 1021499
Watu walijua BRT is only buses wakasahau ni system๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Ila mchina amewakalia vibaya sana hawa watu ๐๐๐๐Mchina product!
He is their corruption master! Ona wanavohaha kuweka picha hazihusiani na multibilion dollars projects by Chinoirs!Ila mchina amewakalia vibaya sana hawa watu ๐๐๐๐
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.Waende uganda sasa wakacheze uone kama watatoka salama na washatangaziwa vyuma nje nje
Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tu๐๐๐Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa wakenya ndio zao woga wa kusifu wahalifu, na hii tabia ndio iliyowalea mungiki. ngoja sasa uganda wawaoneshe dawaKwamba hao pokoti ni Warlords? Ama Immortals,
Jiliwaze mwaya,mbona m7 kasema shoot to kill? Maana amejaribu hao vijana wamelemea police wake sasa ameamua kuwatumia army.Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tu
Bandits ambao wanapenda mchezo wa guerillas,na wanaelewa terrain hiyo vema kushinda Ugandan security kitakua kibarua kigumu kiasi sio rahisi hivyo.Kwamba hao pokoti ni Warlords? Ama Immortals,