Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_7958.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
manyang'au yanapoamua kuumbuana wao kwa wao.

wahenga walisema unapozungumza jambo la uongo, hakikisha unakuwa na kumbukumbu sahihi.
View attachment 1021498View attachment 1021499
Baada ya utalii kupigwa mabao na tanzania sasa wanaanza kuleta porojo za black panther kuona dunia itasema vpi kwa bahat mbaya walijisahau๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom