Hii battle ya Kenya na Tanzania sijawahi kuilewa hata kidogo, watu hawana pesa mfukoni na wanaishi Jangwani, Tandika na Mwembe Yanga lakini wanajivunia magorofa, watu wanaishi Kibera, Mitumba na Mathare bila vyoo lakini wanajivunia kiingereza na ndege, maisha yakiwatinga wanakimbilia Ulaya nchi za Scandinavia, Ujerumani, Uholanzi nk kwenye Pochi nene lakini kiingereza hakina kipaumbele na magorofa si msamiati wao ni msamiati wa USA, China, Russia na UAE. Ethiopia wana mandege kibao fleet size 108, barabara za hatari, treni za kisasa lakini wananchi wao hawana pesa, watoto wa mitaani Addis Ababa wakucheba, kila kukucha waithiopia wahamiaji haramu wanakamatwa kwenye makontena huko Tanzania. Pamoja na kwamba Kenya airways ina ndege nyingi mara 6 ya Tanzania lakini maisha ya Kibera, Mathare ni Utata. Guys, you have to be serious, pigeni kazi acheni ubishi usioingiza pesa mfukoni.
achana naye yeye ndo ana maisha magumu asipende kugeneralize hiyWewe una uhakika gani wabongo kwenye hii nyuzi hawana maisha!!!umefiatilia kila mmoja humu ukamuelewa sawa sawa???
Maisha magumu hayana maigizo mzee,sio masihara,ukiona mtu ananunua bundle la elfu mbili kwa siku anachezea chezea tu na kushinda mtandaoni ujue anajua anachokifanya,sio rahisi kama tunavyotaka kuaminishana.
Kwahyo point yako Ni ipi?lazima ufaham battle ziko aina nyingi,kama hii haijakupendeza pita wima, kwani wananchi wa Ethiopia wakiwa na maisha magumu wewe inakuhusu nn hasa?Hii battle ya Kenya na Tanzania sijawahi kuilewa hata kidogo, watu hawana pesa mfukoni na wanaishi Jangwani, Tandika na Mwembe Yanga lakini wanajivunia magorofa, watu wanaishi Kibera, Mitumba na Mathare bila vyoo lakini wanajivunia kiingereza na ndege, maisha yakiwatinga wanakimbilia Ulaya nchi za Scandinavia, Ujerumani, Uholanzi nk kwenye Pochi nene lakini kiingereza hakina kipaumbele na magorofa si msamiati wao ni msamiati wa USA, China, Russia na UAE. Ethiopia wana mandege kibao fleet size 108, barabara za hatari, treni za kisasa lakini wananchi wao hawana pesa, watoto wa mitaani Addis Ababa wakucheba, kila kukucha waithiopia wahamiaji haramu wanakamatwa kwenye makontena huko Tanzania. Pamoja na kwamba Kenya airways ina ndege nyingi mara 6 ya Tanzania lakini maisha ya Kibera, Mathare ni Utata. Guys, you have to be serious, pigeni kazi acheni ubishi usioingiza pesa mfukoni.
Nimecheka sana sidhani kma utani utaisha kenya
Kama mtu ananunua bundle ya 2000 kila siku atafute kazi ya kufanya. Angekuwa ana wife router nyumbani kwake au ana bundle unlimited ya miezi mitatu au angalau ya mwezi mmoja ningekaa kimyaWewe una uhakika gani wabongo kwenye hii nyuzi hawana maisha!!!umefiatilia kila mmoja humu ukamuelewa sawa sawa???
Maisha magumu hayana maigizo mzee,sio masihara,ukiona mtu ananunua bundle la elfu mbili kwa siku anachezea chezea tu na kushinda mtandaoni ujue anajua anachokifanya,sio rahisi kama tunavyotaka kuaminishana.
Makapuku wanapatika Kibera na TandikaUsituchukulie wote makapuku kama wewe
Ficha upumbavu wako
Usifananishe Tandika na vitu vya kijingaMakapuku wanapatika Kibera na Tandika
Tatizo lako bro ugonjwa wa siasa umekua chronic akilini mwako na mara zote ukikumbwa na huu ugonjwa unaharibu kinga akilini mwako unaanza kushambuliwa na vigonjwa vingine kama vile negative to your country (Kukosa uzalendo), uchu wa madaraka, hasira n.k. Nakushauri hii battle utuachie maana ni kama msai kaingia disco vile na ukiendelea kustay tutakuvua hiyo rubega tukunyang'anye na runguKama mtu ananunua bundle ya 2000 kila siku atafute kazi ya kufanya. Angekuwa ana wife router nyumbani kwake au ana bundle unlimited ya miezi mitatu au angalau ya mwezi mmoja ningekaa kimya
Haya ngoja niondoke huku ambako ukibishana kuhusu magorofa ndo ishara ya UzalendoTatizo lako bro ugonjwa wa siasa umekua chronic akilini mwako na mara zote ukikumbwa na huu ugonjwa unaharibu kinga akilini mwako unaanza kushambuliwa na vigonjwa vingine kama vile negative to your country (Kukosa uzalendo), uchu wa madaraka, hasira n.k. Nakushauri hii battle utuachie maana ni kama msai kaingia disco vile na ukiendelea kustay tutakuvua hiyo rubega tukunyang'anye na rungu
Wewe sikutofautishi na wale wanaosneak Madini kwenda nje na kuleta madawa ya kulevya. Onyo la mwisho, sepa bro hapa hapakufaiMakapuku wanapatika Kibera na Tandika
Good. Tokea mwanzo nilihisi tu kuwa wewe ni mtu mwenye akili, na ni kweli coz wewe ni MtanzaniaHaya ngoja niondoke huku ambako ukibishana kuhusu magorofa ndo ishara ya Uzalendo
Huku hapakufai tafuta jukwaa la siasa mukadanganyane😂😂😂😂Haya ngoja niondoke huku ambako ukibishana kuhusu magorofa ndo ishara ya Uzalendo