Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Posta inatoa watu rohoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
95E605CF-A69A-4795-A9AB-7AA081E47A1E.jpeg
2F88147D-EC66-4592-91CF-83FEF4AC0076.jpeg
 
Watu wanapambana na posta hahahahahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana
 
Jana nilipita maeneo hayo ya nyerere square katika mihangaiko ya hapa na pale basi nikasema ngoja nipumzike kidogo maana jua la Dom ni hatari. Kumbe kuna mkutano wa CCM, nikaona si mbaya ngoja nijongee kwa maana na mimi ni CCM kindakindaki.

Bahati mbaya mkutano ulikua unaelekea ukingoni , basi Mc akamkaribisha mbunge kuzindua kitu. Kumbe Kitu chenyewe ni gari tena gari lenyewe ni la kawaida tu. Nilijiuliza maswali mengi sana ila la muhimu ni je mkutano ule ulikua ni kwa ajili ya kuzindua lile gari au kulikua na mambo mengi na gari ni mojawapo ya mambo ya hayo. Sijapata Jibu ila sitaki kuamini kuwa mkutano ule na mbwembwe zile ni kwa ajili ya kigari hicho tu .

Ila jirani Dodoma kunazidi kunoga kila siku. Baada ya miaka mitano Nadhani Dodoma itakua mbali sana.
 
Back
Top Bottom