Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

8676.jpg
8683.jpg
8560.jpg
 
Unaposema maendeleo unamaanusha nini haswa wakati hata hizi timu zenu tajika bado zinapata ufadhili kutoka kenya? Ama maendeleo ni nucharzwa mabao kila time katika international matches? Kama hiyo ndo maendeleo then wacha tu ikae ila nataka kukukumbusha kwamba ile level ya maendeleo Gor imepata hadi kufikia sasa hizo team zenu takataka za yanga na simba hazitawahi fikia milele. Just in case you didn't know, Gor is the only team in east and central Africa to ever lift a continental tittle jambo ambalo litabaki kuwa ndoto kwa yanga na simba. Hiyo ndio maendeleo
ufadhili gani wewe bwege kweli ww so sport pesa ndio iliwapa hzo expensive buses na kuwajengea ofisi tanzania ????hahahha nikikwambia revenue ya yanga na simba au azam kusanya upuuzi wote wakenya hamnusi hata ukucha hakuna kitu sport pesa imeongeza kwa yanga au simba hehehehhe wala usijisumbue kutumia nguvu kuongelea sport pesa tanzania
 
Hehehe....mnatia huruma kweli! Na ile yanga tenu saa hii iko wapi? naamini wako pale tandale na mbagala kwa shacks (dream houses za watanzania) wakingoja kichapo cha mwaka kutoka kwa serikal, Gor mayienga in confiderations cup
hio ni team B munacheza nazo team A zote ziko huku zinacheza ligi kuu heheh munajipa matumaini ya bure tu heheh nimefurah kuona mpaka kariobangi slum ina team sijui maskini ainafadhiliwa na nani??:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom